HABARI ZA MAGAZETINI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI
NEC yasema wapiga kura halali ni Mil.22.7, ZEC yafafanua waliofutwa daftari la kudumu la wapiga kura. fuatilia dondoo za magazeti ya leo Magufuli asema hana mchezo, asema hawezi kuvumilia kuona wananchi wanaumizwa. Waziri Kigoda afariki dunia ; https://youtu.be/8RQRzQUH53U
Membe amvaa Lowasa,asema hana uwezo wa kuongoza. Awamwagia sifa Zitto Kabwe na Dk.Slaa.Pitia dondoo za magazeti hapa; https://youtu.be/UNzANwKRMyg
Yanga yaiendea Azam Bagamoyo, Samata awania tuzo ya mchezaji bora. Pata...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi25 Sep
HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI
HABARI ZENYE LINK ZA YOUTUBE! Star TV: Waumini wa Dini Ya kiislam Waungana na waislam wote nchini kusherehekea ibada ya sikukuu ya Eid El Haj na kuombea Amani Uchaguzi mkuu. https://youtu.be/DNNY-2vzKjY
TBC: Mamlaka ya mawasiliano TCRA imewataka wamiliki wa Radio Na TV kutumia vyombo hivyo kuleta maendeleo ya Taifa na sio kufanya Uchochezi. https://youtu.be/3zkiqOOwXqI
Star TV: Serikali yaitaja Wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi kutokana na...
9 years ago
Michuzi10 Oct
HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI
10 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziHABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI LEO
9 years ago
MichuziHABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI NCHINI
Makamo wa raisi Bi Samia Suluhu apokelewa katika ofisi zake huku akiaahidi kushughulikia changamoto wanazokabiliana nazo katika ofisi hizo. https://youtu.be/caPRR2aT1vI
Kufuatia sintofahamu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar Raisi Dr.Shein akutana na Maalim Seif katika ikulu visiwani Unguja. https://youtu.be/U738e8-n71o
Hofu ya kipindupindu yaukabili mkoa wa Kagera baada ya wagonjwa kadhaa kupokelewa hospitali wakihofiwa kuwa na dalili za ugonjwa huo. https://youtu.be/rryYsjdheAQ
BOFYA HAPA KUONA ZAIDI
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Habari kutoka vituo mbalimbali vya Televisheni
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Takukuru,yawatia mbaroni makada wa CCm kwa tuhuma za kutoa rushwa jijini Dar es salaam.
Azam tv
Wakati kazi ya uandikishaji ikielendelea kwa siku 4 zilizo ongezwa baadhi ya waandikishaji wa BVR wagoma kufuatia kutolipwa mafao yao.https://youtu.be/QfITiVLbDZI
Shughuli za kupata wagombea kusaka kiti cha uraisi zimeanza hapo jana baada ya wgombea wa nafasi hiyo kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo kutoka NEC. https://youtu.be/1A1jz0JCmEA
TBC...
9 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Habari kutoka vituo mbalimbali vya televisheni leo!!
Kashfa mpya yaibuka bandari ya Dar es salaam baada ya makontena zaidi ya elfu 11 na magari zaidi ya elfu 2 kutolipiwa ushuru. https://youtu.be/y0Z9BCqcUWM
Zikiwa zimebaki siku 7 kabla ya kuanza tena kwa zoezi la bomoa bomoa, hofu yatanda jijini Dar es salaam baada ya maafisa zaidi ya 100 kutoka baraza la mazingira NEMC kusambaa maeneo ya mabondeni kuweka alalma za X kwenye nyumba zilizoko eneo hilo. https://youtu.be/MuyO1r86PL4
Upatikanaji wa huduma muhimu ikiwa ni vyakula pamoja na mavazi...