Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI NCHINI


Makamo wa raisi Bi Samia Suluhu apokelewa katika ofisi zake huku akiaahidi kushughulikia changamoto wanazokabiliana nazo katika ofisi hizo. https://youtu.be/caPRR2aT1vI
Kufuatia sintofahamu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar Raisi Dr.Shein akutana na Maalim Seif katika ikulu visiwani Unguja. https://youtu.be/U738e8-n71o

Hofu ya kipindupindu yaukabili mkoa wa Kagera baada ya wagonjwa kadhaa kupokelewa hospitali wakihofiwa kuwa na dalili za ugonjwa huo. https://youtu.be/rryYsjdheAQ

BOFYA HAPA KUONA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Habari kutoka vituo vya televisheni mbalimbali nchini

news inscription in studio tv

SIMU.TV: Changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama yazidi kuwatesa wakazi wa Kiwangwa visiwani Zanzibar https://youtu.be/t-rNSt_gLAQ  

SIMU.TV: Wakulima mkoani Lindi wamepewa changamoto kulima mazao mengine ya chakula na biashara licha ya mafanikio makubwa ya zao la korosho; https://youtu.be/kN8jcDnkM6U

SIMU.TV: Waziri George Simbachawene amemteua mhandisi Ronald Lwakatare kuwa kaimu mtendaji wa mabasi yaendayo kasi DART.https://youtu.be/rI4R65O29Yo

SIMU.TV: Hospitali teule ya...

 

9 years ago

Michuzi

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

CH10 NEWSTCRA kwa kushirikiana na Polisi wamfikisha mahakamani kijana mmoja kwa tuhuma za kuzusha kwamba Jenerali Mwamunyange amepewa sumu. https://youtu.be/r_tm-YKn7AIMgombea uraisi wa Chadema Edward Lowassa aahidi kujenga hospitali ya rufaa kila wilaya ili kuwaondolea adha wananchi. https://youtu.be/w3V91OSWR-gHali ya upatikanaji wa umeme nchini yaendelea kuwa tete kufuatia Shirika la umeme nchini Tanesco kuzima baadhi ya mitambo katika bwawa la Kidatu kufuati kupungua kwa kina cha...

 

9 years ago

Michuzi

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI



HABARI ZENYE LINK ZA YOUTUBE! Star TV: Waumini wa Dini Ya kiislam Waungana na waislam wote nchini kusherehekea ibada ya sikukuu ya Eid El Haj na kuombea Amani Uchaguzi mkuu. https://youtu.be/DNNY-2vzKjY
TBC: Mamlaka ya mawasiliano TCRA imewataka wamiliki wa Radio Na TV kutumia vyombo hivyo kuleta maendeleo ya Taifa na sio kufanya Uchochezi. https://youtu.be/3zkiqOOwXqI
Star TV: Serikali yaitaja Wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi kutokana na...

 

9 years ago

Michuzi

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI LEO

SIMU.TV: Wakazi wa kisiwa cha Songosongo Mkoani Lindi wameiomba serikali kufuta nia ya kuwahamisha kisiwani humo na kumpa mwekezaji. SIMU.TV: Serikali imesema haina mpango wa kuyafunga maduka binafsi ya dawa yaliyoko katika Hospitali mbalimbali nchini. https://youtu.be/rz9uHSFL63k SIMU.TV: Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania TUCTA limekemea na kukataa ukandamizaji unaofanywa na baadhi ya waajiri.   https://youtu.be/ERm7gZJPk6g  SIMU.TV: Mabondia Francis Cheka na Thomas Machali...

 

10 years ago

Dewji Blog

Habari kutoka vituo mbalimbali vya Televisheni

Untitled

Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Takukuru,yawatia mbaroni makada wa CCm kwa tuhuma za kutoa rushwa jijini Dar es salaam.

Azam tv

Wakati kazi ya uandikishaji ikielendelea kwa siku 4 zilizo ongezwa baadhi ya waandikishaji wa BVR wagoma kufuatia kutolipwa mafao yao.https://youtu.be/QfITiVLbDZI

Shughuli za kupata wagombea kusaka kiti cha uraisi zimeanza hapo jana baada ya wgombea wa nafasi hiyo kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo kutoka NEC. https://youtu.be/1A1jz0JCmEA

TBC...

 

9 years ago

Michuzi

HABARI ZA MAGAZETINI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

NEC yasema wapiga kura halali ni Mil.22.7, ZEC yafafanua waliofutwa daftari la kudumu la wapiga kura. fuatilia dondoo za magazeti ya leo Magufuli asema hana mchezo, asema hawezi kuvumilia kuona wananchi wanaumizwa. Waziri Kigoda afariki dunia ; https://youtu.be/8RQRzQUH53U
Membe amvaa Lowasa,asema hana uwezo wa kuongoza. Awamwagia sifa Zitto Kabwe na Dk.Slaa.Pitia dondoo za magazeti hapa;  https://youtu.be/UNzANwKRMyg
Yanga yaiendea Azam Bagamoyo, Samata awania tuzo ya mchezaji bora. Pata...

 

9 years ago

Michuzi

SIMU TV:HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI


Kwa taarifa zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani