TCRA yatoa mwongozo wa uchaguzi kwa vyombo vya habari
Ukiwa umesalia mwezi mmoja kuanza kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa rasimu ya mwongozo kwa vyombo vya habari vya utangazaji utakaongoza namna ya kuripoti habari zote za uchaguzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
TCRA yatoa angalizo kwa vyombo vya Habari utangazwaji matokeo ya uchaguzi mkuu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya. Mawasiliano Tanzania, (TCRA), Dk. Ally Yahaya Simba.
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari_ Matokeo Ya Uchaguzi Mkuu 2015
9 years ago
Dewji Blog14 Sep
TCRA yatoa ufafanuzi juu ya tangazo lake lililotolewa kwenye vyombo vya habari Septemba 11
Taarifa kwa Vyombo vya Habari_13_09_2015.pdf
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
TCRA yaonya vyombo vya habari
KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imetoa onyo kali kwa kituo cha Independent Television (ITV), Star TV na Radio Free Africa kwa kutangaza maudhui yanayokiuka kanuni za utangazaji...
9 years ago
MichuziPROF. OLE GABRIEL AVIPONGEZA VYOMBO VYA HABARI KWA KAZI KUBWA WALIYOIFANYA YA KUANDIKA HABARI ZA UCHAGUZI ULIOFANYIKA HIVI KARIBUNI
Vyombo vya habari nchini vimepongezwa kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kutoa taarifa kwa wananchi wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwezi wa 10 mwaka huu.
Pongezi hizo zimetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wakati akiongea na viongozi wa menejimenti ya wizara na taasisi zake kwenye kikao cha kazi kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Prof. Gabriel alisema kipindi cha uchaguzi vyombo...
11 years ago
MichuziOFAB TANZANIA YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-dvJ6PFhEXBc/VaPlFJN4PZI/AAAAAAADxx4/g0hi1THALTk/s72-c/Majimbo%2B26%2BMapya%2B13%2BJULAI%2B2015.png)
9 years ago
Dewji Blog11 Nov
NEC yavishukuru vyombo vya habari kwa coverage nzuri ya Uchaguzi Mkuu 2015
Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuvishukuru vyombo vya habari kwa kuripoti vizuri katika kipindi chote cha uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa NEC, Emanuel Kavishe.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Kavishe naye akitoa pongezi kwa wanahabari kwa kutangaza vizuri matukio ya uchaguzi...
11 years ago
MichuziLHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YA NUSU MWAKA KUANZIA JANUARY HADI JUNI 2014
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema kuwa hadi kufikia Juni 2014 wanawake na wasichana 2878 wamebakwa nchini kutokana na vitendo vya ukatili dhidi yao.
Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Dk. Helen Kijo-Bisimba wakati akitoa taarifa ya kipindi cha nusu mwaka kuanzia Januari na Juni mwaka huu kwa vyombo vya habari Dar es Salaam leo.
"Vitendo hivyo vya kikatili dhidi ya makundi hayo vilivyoripotiwa polisi kwa nchi nzima vilikuwa 3,633"...