VYOMBO VYA HABARI VYAASWA KUTOA KIPAUMBELE KWA HABARI ZINAZOJENGA JAMII
![](http://4.bp.blogspot.com/-1jYxjGTfI4Q/U0TeQMS0j8I/AAAAAAAFZXc/iSfynIQj1SI/s72-c/Jamhuri+-+1.jpg)
Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene (kushoto) akizungumza na wahariri wa Gazeti la Jamhuri Bw. Deodatus Balile, Muhariri Mtendaji (katikati) na Bw. Manyerere Jackton , Naibu Muhariri Mtendaji (kulia) alipotembelea Ofisi za gazeti hilo mtaa wa Samora leo jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa watendaji wa Idara ya Habari kuvitembelea vyombo vya habari kwa lengo la kuimarisha ushirikiano na kutatua changamoto zinazoikabili tasnia ya Habari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
10 years ago
Dewji Blog26 May
Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-aRz-xSCkYIQ/VgpISkuB8gI/AAAAAAAH7r4/AWl37wt07E8/s72-c/images.jpg)
BENKI YA DUNIA: TANZANIA YAONGOZA DUNIANI KUTOA HUDUMA ZA PESA KWA SIMUTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
![](http://3.bp.blogspot.com/-aRz-xSCkYIQ/VgpISkuB8gI/AAAAAAAH7r4/AWl37wt07E8/s200/images.jpg)
TANZANIA ni nchi ya kwanza duniani kutoa huduma za pesa, kutoa mikopo na kutoa riba kwa kutumia mawasiliano ya simu, Benki ya Dunia imesema na kuongeza kuwa Tanzania ni moja ya masoko makubwa zaidi duniani ya kutoa huduma ya fedha kwa njia ya simu.
Benki hiyo ya Dunia pia imesema kuwa Serikali ya Tanzania imewekeza kwa kiwango cha juu katika mfumo wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) ikilinganishwa na nchi...
11 years ago
Michuzi02 Jun
UHURU KWA VYOMBO VYA HABARI UNA I "SHAPE" JAMII ASEMA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII-NYARANDU
Globu ya Jamii aliyekuwa jijini Mwanza.
5 years ago
BBCSwahili14 Jun
Hali ya upashaji habari ilivyo baada ya kufungwa kwa baadhi ya vyombo vya habari Burundi
9 years ago
MichuziPROF. OLE GABRIEL AVIPONGEZA VYOMBO VYA HABARI KWA KAZI KUBWA WALIYOIFANYA YA KUANDIKA HABARI ZA UCHAGUZI ULIOFANYIKA HIVI KARIBUNI
Vyombo vya habari nchini vimepongezwa kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kutoa taarifa kwa wananchi wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwezi wa 10 mwaka huu.
Pongezi hizo zimetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wakati akiongea na viongozi wa menejimenti ya wizara na taasisi zake kwenye kikao cha kazi kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Prof. Gabriel alisema kipindi cha uchaguzi vyombo...
10 years ago
Dewji Blog13 Nov
Serikali, UN, vyombo vya habari kutoa elimu dhidi ya Ebola
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma kutoka Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, Said Makora (kulia), akielezea jinsi Wizara hiyo inavyopambana kutoa elimu ya ugonjwa wa Ebola kwa wananchi wakati wa kongamano lililoandaliwa na UNESCO, WHO, UNICEF, Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, uliofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Novemba 11,2014 jijini Dar es Salaam mkutano huo uliowakutanisha wamiliki wa Redio za kijamii kuwaelimsha Radio za Kijamii za...
10 years ago
Dewji Blog07 Oct
UNESCO yaahidi kuviendeleza vyombo vya habari jamii kukuza Demokrasia
Mwalikishi wa Shirika la Kimataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambaye pia ni mshauri na mkufunzi wa redio jamii, Bi. Rose Haji Mwalimu akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania, Zulmira Rodrigues kwenye sherehe za uzinduzi wa kituo hicho cha redio jamii Uvinza FM uliofanyika wilayani Uvinza mkoani Kigoma.
Kutoka kushoto ni Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Uvinza FM Radio Bi. Nuru Kalufya, Mgeni rasmi Mkuu wa...