Hali ya upashaji habari ilivyo baada ya kufungwa kwa baadhi ya vyombo vya habari Burundi
Baadhi ya vyombo vya habari vilivyopigwa marufuku kwa sasa hivi vimeanza kupeperusha matangazo yake mtandaoni.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
10 years ago
Dewji Blog26 May
Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.
11 years ago
Michuzi
VYOMBO VYA HABARI VYAASWA KUTOA KIPAUMBELE KWA HABARI ZINAZOJENGA JAMII

10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Michuzi
MBUNGEWA MOSHI VIJIJINI DKT CYRIL CHAMI ASIKITISHWA NA TAARIFA ZA KIZUSHI ZINAZOSAMBAZWA KWA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI JUU YAKE.

Mimi sina mfanyakazi wa jina hilo la Mariamu. Wala sina mfanyakazi mwenye umri wa miaka 16. Hatuna tatizo lolote la mfanyakazi yeyote kupigwa, achilia mbali kuuawa. Lakini taarifa hizo ambazo ni za uongo mtupu zimewashtua wengi kwa sababu...
10 years ago
VijimamboTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - IDADI YA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI YAONGEZEKA KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU
10 years ago
Michuzi
ufafanuzi kutoka REDET kuhusu takwimu iliyotolewa na baadhi ya vyombo vya habari
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baadhi ya vyombo vya habari katika taarifa zao zilizochapishwa katika matoleo yao ya Jumatatu tarehe 6 Julai, 2015 vimechapisha taarifa zinazohusu utafiti uliofanywa na REDET juu ya Maoni ya Wananchi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Utakaofanyika Oktoba 2015. Taarifa hizi zimesababisha wadau wengi hapa nchini kutaka ufafanuzi kutoka REDET. Kama ilivyo kawaida yake REDET imejijengea heshima na utamaduni wa kufanya kazi zake kwa misingi ya uwazi na ukweli. Kwa hali hii...

10 years ago
VijimamboHALI YA HEWA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10