MBUNGEWA MOSHI VIJIJINI DKT CYRIL CHAMI ASIKITISHWA NA TAARIFA ZA KIZUSHI ZINAZOSAMBAZWA KWA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI JUU YAKE.
![](http://3.bp.blogspot.com/-PrOUOtNiJRE/U9YbGb325MI/AAAAAAAF7UM/UeusCUuxegg/s72-c/Cyril-Chami.jpg)
Mimi Dr Cyril August Chami, Mbunge wa Moshi Vijijini (CCM) napenda kueleza masikitiko yangu kwa taarifa za uzushi na za kutunga kuwa eti mke wangu asiye na jina amemuua mfanyakazi wetu Mwislamu kwa sababu "marehemu" alikataa kwenda kanisani.
Mimi sina mfanyakazi wa jina hilo la Mariamu. Wala sina mfanyakazi mwenye umri wa miaka 16. Hatuna tatizo lolote la mfanyakazi yeyote kupigwa, achilia mbali kuuawa. Lakini taarifa hizo ambazo ni za uongo mtupu zimewashtua wengi kwa sababu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/eEFhbilUQK4/default.jpg)
DK CYRIL CHAMI KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM JIMBO LA MOSHI VIJIJINI
Video imepigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
10 years ago
GPLLHRC CHATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MWENENDO NA HATUA ZA KISHERIA KWA VIONGOZI WA UMMA WANAOKIUKA MAADILI
5 years ago
BBCSwahili14 Jun
Hali ya upashaji habari ilivyo baada ya kufungwa kwa baadhi ya vyombo vya habari Burundi
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/CCM.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-NRCmaiRGrSQ/VUwnfQ2qirI/AAAAAAADmJY/6GMNanvKeeY/s72-c/Burundi%2B9.jpeg)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Inbox x
![](http://2.bp.blogspot.com/-NRCmaiRGrSQ/VUwnfQ2qirI/AAAAAAADmJY/6GMNanvKeeY/s640/Burundi%2B9.jpeg)
Mhe. Pierre Nkurunziza, Rais wa Jamhuri ya Burundi akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe ulioongozwa na Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania. Mawaziri wengine katika picha ni Mhe. Louise Mushikiwabo (kulia kwa Waziri Membe), Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda na Mhe. Amina Mohamed (mwenye skafu nyekundu), Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/--4IlYBlUS9E/VTLVhLG1qnI/AAAAAAAABOM/207MTfzYmp0/s72-c/8-chadema.jpg)
CHADEMA: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
![](http://2.bp.blogspot.com/--4IlYBlUS9E/VTLVhLG1qnI/AAAAAAAABOM/207MTfzYmp0/s1600/8-chadema.jpg)
Kumekuwepo na hali ya raia wa Afrika Kusini kushambulia , kujeruhi na kuua raia wa kigeni wa Kiafrika wanaoishi nchini Afrika Kusini. Hali hii inadaiwa kuchochewa na ukosefu mkubwa wa ajira kwa wananchi wa Afrika Kusini wanaodai ajira hizo kuchukuliwa na Waafrika wa mataifa mengine na hivyo wao wenyeji kubakia kwenye dimbwi kuu...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10