NCHI ZA NORDIC ZAAHIDI KUENDELEZA, KUIMARISHA UHUSIANO WAKE NA TANZANIA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akiwa ameshikilia mpira ulioandikwa malengo 17 ya maendeleo endelevu katika picha ya pamoja na mabalozi wa nchini za Nordic. Nchi za NORDIC ambazo ni Norway, Sweden, Finland na Dernmark zimeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania na kuhakikisha kuwa Tanzania inasonga mbele katika maendeleo yake kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Akiongea wakati wa maadhimisho ya wiki ya Nordic jijini Dar es Salaam, ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTANZANIA NA KUWAIT ZAAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO
Mazungumzo yao yalijikita katika kujadili namna bora ya kuuenzi na kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia iliopo baina ya mataifa yao ili uweze kuleta tija na kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano kwa manufaa ya wananchi wa Tanzania na...
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Tanzania, Finland kuimarisha uhusiano
Na Mwandishi Maalumu, Finland
UHUSIANO baina ya Tanzania na Finland utaendelea kuimarishwa zaidi kuliko ilivyo sasa, imeelezwa.
Kauli hiyo imetolewa jana mjini Helsinki na Rais Sauli Niinisto wa Finland, katika mazungumzo yake na Rais Jakaya Kikwete yaliyofanyika Ikulu nchini hapa.
“Uhusiano wetu ni wa muda mrefu, ni uhusiano ambao umedumu kwa miaka 50, tumekuwa na uhusiano ambao umeleta maendeleo ya kiuchumi kwa Tanzania.” Rais Niinisto alisema na kuongeza: “Hii inatupa nafasi ya kutafuta...
10 years ago
Habarileo28 Jan
India kuimarisha uhusiano na Tanzania
BALOZI wa India nchini, Debnath Shaw amesema kuwa nchi yake itaendelea kuimarisha uhusiano uliopo na Tanzania katika kuhakikisha nchi zote zinafaidika na miradi mbalimbali ya maendeleo.
9 years ago
StarTV25 Sep
Tanzania na Marekani zakubaliana kuendeleza ushirikiano wake
Rais wa Tanzania DK Jakaya Kikwete ameihakikishia Serikali ya Marekani kuwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili hautabadilika, bali utaendelea kuboreshwa zaidi hata baada ya Serikali mpya kuingia madarakani.
Aidha ameiomba Marekani kuiunga mkono Serikali ijayo pamoja na maendeleo ya Tanzania na watu wake, kama ilivyofanya katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, kwa kuchangia uchumi wa nchi kupanda kutoka dola bilioni 14.4 hadi kufikia dola bilioni 50.
Rais Kikwete ameyasema hayo...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-gLazLqN1Zgg/VI3XLBWtY0I/AAAAAAADR2k/iw2DERcwd_g/s72-c/FullSizeRender.jpg)
TANZANIA YAISHAURI ICC KUBORESHA UHUSIANO WAKE NA AFRIKA
![](http://3.bp.blogspot.com/-gLazLqN1Zgg/VI3XLBWtY0I/AAAAAAADR2k/iw2DERcwd_g/s1600/FullSizeRender.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ihmh95daLsA/VI3XOZTb9SI/AAAAAAADR2w/oPx8RA2hIVU/s1600/FullSizeRender%2B(2).jpg)
11 years ago
MichuziHEIFER INTERNATIONAL TANZANIA YAZINDUA MRADI MKUBWA WA KUENDELEZA SEKTA YA MAZIWA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Marekani na Cuba kuimarisha uhusiano
10 years ago
BBCSwahili20 Mar
Marekani kuimarisha uhusiano na Iran
10 years ago
BBCSwahili08 Jul
Marekani kuimarisha uhusiano na Vietnam