TANZANIA NA KUWAIT ZAAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Mhe. Mubarak Mohammed Faleh Alsehaijan alipomtembelea katika ofisi za wizara Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili 2020.
Mazungumzo yao yalijikita katika kujadili namna bora ya kuuenzi na kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia iliopo baina ya mataifa yao ili uweze kuleta tija na kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano kwa manufaa ya wananchi wa Tanzania na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziNCHI ZA NORDIC ZAAHIDI KUENDELEZA, KUIMARISHA UHUSIANO WAKE NA TANZANIA
Akiongea wakati wa maadhimisho ya wiki ya Nordic jijini Dar es Salaam, ...
11 years ago
Habarileo04 Feb
Tanzania, India kuimarisha ushirikiano
TANZANIA na India zimeeleza kuridhishwa na uhusiano na ushirikiano uliopo baina yao na kusisitiza dhamira ya kweli ya kuuimarisha kwa faida ya wananchi. Hayo yalielezwa kwenye mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais wa India, Mohamed Hamid Ansari. Dk yuko nchini humo kwa ziara ya kikazi.
5 years ago
MichuziTANZANIA NA NEPAL KUIMARISHA USHIRIKIANO
Katika hotuba yake, Waziri Gyawali alieleza kuridhishwa kwake kutokana na uhusiano thabiti wa kidiplomasia uliopo kati ya nchi hizi mbili ambapo zinashirikiana na kujenga hoja zinazofanana kwenye medani ya Umoja wa Mataifa, Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote, Kundi...
11 years ago
MichuziTANZANIA NA SWEDEN ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO
11 years ago
Michuzi24 Jul
TANZANIA NA SRI LANKA KUIMARISHA USHIRIKIANO
11 years ago
Michuzi11 Aug
Tanzania na Jamhuri ya Korea kuimarisha ushirikiano
11 years ago
MichuziTanzania na Misri zakubaliana kuimarisha ushirikiano
10 years ago
MichuziMAZUNGUMZO YA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA COMORO YAFANYIKA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb),akimkaribisha Wizarani Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe El-Anrif Said Hassane kwa mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Comoro.
9 years ago
VijimamboTANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI