TANZANIA NA SRI LANKA KUIMARISHA USHIRIKIANO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sri Lanka, Mhe. Prof. G.L. Peiris walipokutana mjini Colombo, Sri Lanka wakati wa ziara ya Mhe. Membe nchini humo hivi karibuni. Wakati wa ziara hiyo Mhe. Membe kwa niaba ya Serikali ya Tanzania alisaini mikataba mitatu ikiwemo ule wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Sri Lanka, Mkataba wa Ushirikiano katika masuala ya Siasa na Mkataba wa Makubaliano...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo22 May
Tanzania, Sri Lanka kutafiti pamoja minazi
SERIKALI iko katika hatua mwisho ili kuingia makubaliano ya ushirikiano (MoU) na Sri Lanka katika utafiti wa zao la minazi kwa kuzingatia kuwa nchi hiyo imepiga hatua katika utafiti wa magonjwa ya minazi.
11 years ago
Colombo Page24 Jul
* Tanzania looks forward to further strengthening bilateral ties with Sri Lanka
Asian Tribune
Colombo Page
July 22, Colombo: Tanzania was extremely satisfied with the bilateral relations with Sri Lanka and looks forward to further strengthening those ties, Tanzanian Minister for Foreign Affairs and International Cooperation of Bernard K. Membe has said.
Tanzanian Foreign Minister Calls on President RajapaksaAsian Tribune
all 12
11 years ago
BBCSwahili07 May
Mvua ya Samaki Sri Lanka
9 years ago
BBCSwahili26 Dec
Perera wa Sri Lanka akabiliwa na marufuku
11 years ago
The Official Government News Portal Of Sri Lanka05 Aug
​Sri Lanka President Condoles ​with China
IPPmedia
The Official Government News Portal of Sri Lanka
President Mahinda Rajapaksa has sent a condolence message to his Chinese counterpart, President Xi Jinping on the earthquake that struck the Yunnan Province in southwest China last Sunday. The President in his message has said that Sri Lanka ...
India, China And Sri Lanka: The Uneasy Triangle – AnalysisEurasia Review
Tanzanian president sends condolence to China over Yunnan earthquakePeople's...
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Papa Francis ziaran Sri Lanka
11 years ago
TheCitizen13 Apr
Sri Lanka are world T/20 cricket heroes
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Uchaguzi wa Sri Lanka wafanyika leo
10 years ago
BBCSwahili10 Mar
Zawadi ya mpunga kwa ndovu Sri Lanka