TANZANIA NA SWEDEN ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule akisalimiana na Mhe. Tanja Rasmusson, Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Kimataifa wa Sweden alipofika Wizarani leo. Mhe. Rasmusson yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Katika mazungumzo yao waligusia masuala ya kuimarisha ushirikiano katika nyanja za biashara, uwekezaji, elimu, haki za binadamu na vita dhidi ya rushwa.
Mhe. Rasmusson akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTanzania na Misri zakubaliana kuimarisha ushirikiano
9 years ago
StarTV25 Sep
Tanzania na Marekani zakubaliana kuendeleza ushirikiano wake
Rais wa Tanzania DK Jakaya Kikwete ameihakikishia Serikali ya Marekani kuwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili hautabadilika, bali utaendelea kuboreshwa zaidi hata baada ya Serikali mpya kuingia madarakani.
Aidha ameiomba Marekani kuiunga mkono Serikali ijayo pamoja na maendeleo ya Tanzania na watu wake, kama ilivyofanya katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, kwa kuchangia uchumi wa nchi kupanda kutoka dola bilioni 14.4 hadi kufikia dola bilioni 50.
Rais Kikwete ameyasema hayo...
10 years ago
Habarileo08 Jun
Sweden, Tanzania kukuza ushirikiano kibiashara
NCHI ya Sweden imedhamiria kuukuza ushirikiano wake na Tanzania kwa Awamu mpya ambayo itaongeza uwekezaji na biashara zaidi.
5 years ago
MichuziTANZANIA NA NEPAL KUIMARISHA USHIRIKIANO
Katika hotuba yake, Waziri Gyawali alieleza kuridhishwa kwake kutokana na uhusiano thabiti wa kidiplomasia uliopo kati ya nchi hizi mbili ambapo zinashirikiana na kujenga hoja zinazofanana kwenye medani ya Umoja wa Mataifa, Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote, Kundi...
11 years ago
Habarileo04 Feb
Tanzania, India kuimarisha ushirikiano
TANZANIA na India zimeeleza kuridhishwa na uhusiano na ushirikiano uliopo baina yao na kusisitiza dhamira ya kweli ya kuuimarisha kwa faida ya wananchi. Hayo yalielezwa kwenye mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais wa India, Mohamed Hamid Ansari. Dk yuko nchini humo kwa ziara ya kikazi.
5 years ago
MichuziDKT. MPANGO: USHIRIKIANO WA TANZANIA NA SWEDEN USAIDIE BIASHARA NA UWEKEZAJI
Na. Josephine Majura na Peter Haule, WFM, Dodoma
Serikali imesema kuwa Ushirikiano mpya kati ya Tanzania na Sweden unatakiwa kujikita katika biashara na Uwekezaji kuliko ushirikiano wa misaada pekee ili kuisaidia Tanzania kuwa na uchumi endelevu na shirikishi kwa manufaa ya wananchi wa nchi hizo.
Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Bw. Anders Sjoberg.
Dkt. Mpango alisema kuwa...
5 years ago
MichuziTANZANIA NA KUWAIT ZAAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO
Mazungumzo yao yalijikita katika kujadili namna bora ya kuuenzi na kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia iliopo baina ya mataifa yao ili uweze kuleta tija na kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano kwa manufaa ya wananchi wa Tanzania na...
11 years ago
Michuzi11 Aug
Tanzania na Jamhuri ya Korea kuimarisha ushirikiano
11 years ago
Michuzi24 Jul
TANZANIA NA SRI LANKA KUIMARISHA USHIRIKIANO