MAZUNGUMZO YA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA COMORO YAFANYIKA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb),akimkaribisha Wizarani Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe El-Anrif Said Hassane kwa mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Comoro.Balozi wa Comoro hapa Nchini Mhe.Dr.Ahamada El Badaoui Mohamed(kushoto)akisalimiana na Naibu Waziri Dkt.Mahadhi huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro Mhe.El-Anrif Said Hassane(katikati) akishuhudia.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Feb
Tanzania, India kuimarisha ushirikiano
TANZANIA na India zimeeleza kuridhishwa na uhusiano na ushirikiano uliopo baina yao na kusisitiza dhamira ya kweli ya kuuimarisha kwa faida ya wananchi. Hayo yalielezwa kwenye mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais wa India, Mohamed Hamid Ansari. Dk yuko nchini humo kwa ziara ya kikazi.
5 years ago
MichuziTANZANIA NA NEPAL KUIMARISHA USHIRIKIANO
Katika hotuba yake, Waziri Gyawali alieleza kuridhishwa kwake kutokana na uhusiano thabiti wa kidiplomasia uliopo kati ya nchi hizi mbili ambapo zinashirikiana na kujenga hoja zinazofanana kwenye medani ya Umoja wa Mataifa, Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote, Kundi...
11 years ago
MichuziTANZANIA NA SWEDEN ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO
11 years ago
MichuziTanzania na Misri zakubaliana kuimarisha ushirikiano
11 years ago
Michuzi11 Aug
Tanzania na Jamhuri ya Korea kuimarisha ushirikiano
5 years ago
MichuziTANZANIA NA KUWAIT ZAAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO
Mazungumzo yao yalijikita katika kujadili namna bora ya kuuenzi na kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia iliopo baina ya mataifa yao ili uweze kuleta tija na kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano kwa manufaa ya wananchi wa Tanzania na...
11 years ago
Michuzi24 Jul
TANZANIA NA SRI LANKA KUIMARISHA USHIRIKIANO
9 years ago
VijimamboTANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-EIRBV66nV5g/XlQFKAPnHXI/AAAAAAALfLY/P__PYsrJGV4usMROzNtlCZr9rKP4v2QXQCLcBGAsYHQ/s72-c/1-54-1024x683.jpg)
MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA EU UIMARISHE SEKTA ZA MAENDELEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-EIRBV66nV5g/XlQFKAPnHXI/AAAAAAALfLY/P__PYsrJGV4usMROzNtlCZr9rKP4v2QXQCLcBGAsYHQ/s640/1-54-1024x683.jpg)
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akipeana mkono na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Mhe. Manfredo Fanti, baada ya kumaliza kwa mkutano kuhusu ushirikiano wa maendeleo ya kiuchumi, uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/2-45-1024x683.jpg)
Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Mhe. Manfredo Fanti, akizungumza kuhusu uboreshaji wa miundombinu ili kuchochea biashara, wakati wa kikao na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb)...