Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA EU UIMARISHE SEKTA ZA MAENDELEO


Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akipeana mkono na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Mhe. Manfredo Fanti, baada ya kumaliza kwa mkutano kuhusu ushirikiano wa maendeleo ya kiuchumi, uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma.


Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Mhe. Manfredo Fanti, akizungumza kuhusu uboreshaji wa miundombinu ili kuchochea biashara, wakati wa kikao na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANZANIA NA QATAR ZASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA KAZI NA AJIRA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) kwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira wa Qatar wakisaini Mkataba wa Kazi ambao unalenga kuwawezesha Watanzania hususan vijana wenye ujuzi/taaluma katika fani mbalimbali kupata fursa za ajira na kazi za staha, ujira stahiki, kujiunga na hifadhi za jamii nchini Qatar.  Mkataba huo pia unazingatia sheria na viwango vya kazi kulingana na Mikataba ya Kimaataifa ikiwemo ya Shirika la...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ABAINISHA MTAZAMO MPYA WA USHIRIKIANO KATI YA AFRIKA, KARIBIANI, PASIFIKI NA JUMUIYA YA ULAYA

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala akihutubia wadau wa ushirikiano kati ya nchi za ACP na Jumuiya ya Ulaya. Balozi Kamala alisisitiza umuhimu wa nchi za ACP na Jumuiya ya Ulaya kushirikiana katika kujenga uchumi, kukuza na kutumia teknolojia kuharakisha maendeleo na kuweka mazingira mazuri ya kufanya biashara yenye kunufaisha pande zote. Wadau wa ushirikiano wa ACP na Jumuiya ya Ulaya...

 

10 years ago

Michuzi

MAZUNGUMZO YA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA COMORO YAFANYIKA




Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb),akimkaribisha Wizarani Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe El-Anrif Said Hassane kwa mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Comoro.Balozi wa Comoro hapa Nchini Mhe.Dr.Ahamada El Badaoui Mohamed(kushoto)akisalimiana na Naibu Waziri Dkt.Mahadhi huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro Mhe.El-Anrif Said Hassane(katikati) akishuhudia.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Airtel Tanzania ni kampuni ya kwanza ya mawasiliano nchini kuingia mkataba wa ushirikiano na Apple

SONY DSC

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na Apple ilipofanya uzinduzi wa simu mpya ya iPhone 5s pamoja na ofa kabambe kwa wateja wa Airtel, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ofa hiyo itawawezesha wateja wa Airtel kupata sms 5000, muda wa maongezi dakika 1500 pamoja na kifurushi cha internet cha 3GB. Wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Airtel, Prisca Tembo...

 

10 years ago

Vijimambo

Tanzania na China kuendeleza ushirikiano kwenye Sekta ya Uwekezaji na Viwanda

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akizungumza wakati wa mkutano kati yake na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya China, Balozi Liu Songtian (hayupo pichani). Balozi Liu na ujumbe wake wapo nchini kwa ajili ya kufuatilia masuala ya uwekezaji na maendeleo ya viwanda Tanzania ikiwa ni miongoni mwa nchi tatu za Afrika zilizochaguliwa na China kwa ajili ya kuwa mfano katika uwekezaji na maendeleo ya viwanda....

 

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akihutubia katika ufunguzi rasmi wa Semina ya Ushirikiano wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Norway iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency ya Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway, Mhe. Monica Maeland, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Norway nchini, Mhe. Hanna-Marie Kaarstad na wadau...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA KATI YA TANZANIA NA CHINA HUKO BEIJING

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Ndugu Li Yuanchao wakati walipokutana kwenye Sherehe ya kutimiza Miaka 50 ya Uhusiano wa Kidiplomasia baina ya Tanzania na China. Sherehe hizo zilizoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini China na kufanyika jijini Beijing leo
 Makamu wa Rais wa China Ndugu Li Yuanchao akigonganisha  glasi ikiwa ni ishara ya kusherehekea kutimiza miaka 50 ya ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China. Sherehe...

 

10 years ago

Mwananchi

Sekta ya Viwanda: Kiini cha maendeleo Tanzania

Kwa mujibu wa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda, sekta ya viwanda ndiyo hasa inayoshikilia ufunguo wa maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini kutokana na uwezo wake wa kutengeneza ajira nyingi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani