Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAISHAURI ICC KUBORESHA UHUSIANO WAKE NA AFRIKA

Balozi Irene Kasyanju, Mkurugenzi wa Idara ya Masuala ya Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, akizungumza wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ( ICC). Mkutano huo wa wiki mbili unafanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.Sehemu ya wajumbe wa nchi wanachama wa Mkataba wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai wakimsikiliza Mwakilishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAISHAURI MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA MAKOSA YA JINAI (ICC) KUBORESHA UHUSIANO WAKE NA BARA LA AFRIKA

 Na Mwandishi Maalum, New York Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesema, mafanikio ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) yatategemea uimarishishwaji wa ushirikiano kati ya Makahama hiyo na Afrika. Na kwa sababu hiyo, Tanzania imeshauri kuwa Rais Mpya wa Mkutano wa Nchi wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai hana budi kuhakikisha kuwa moja ya vipaumbele vyake vijielekeze katika kuimarisha uhusiano wa Makahama hiyo na Afrika.  Ushauri huo umetolewa...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yaishauri ICC kuboresha uhusiano na Afrika

Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn, alisema kesi za Rais Kenyatta na Omar al-Bashir wa Sudan zinazuia juhudi za kuleta amani na mapatano katika nchi zao.

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA WIZARA YA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI ZALENGA KUBORESHA UHUSIANO WA TANZANIA KIMATAIFA.

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Bernard Membe akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2015/2016 bungeni leo mjini Dodoma.  Mabalozi wa Tanzania kwenye nchi mbalimbali duniani wakifuatilia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka 2015/2016 iliyowasilishwa leo bungeni mjini Dodoma. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe akimsikiliza kwa makini mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe....

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete asifia uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesifia uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Afrika Kusini, akisema haujapata kuwa mzuri zaidi ya ulivyo sasa.

 

5 years ago

Michuzi

NCHI ZA NORDIC ZAAHIDI KUENDELEZA, KUIMARISHA UHUSIANO WAKE NA TANZANIA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akiwa ameshikilia mpira ulioandikwa malengo 17 ya maendeleo endelevu katika picha ya pamoja na mabalozi wa nchini za Nordic. Nchi za NORDIC ambazo ni Norway, Sweden, Finland na Dernmark zimeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania na kuhakikisha kuwa Tanzania inasonga mbele katika maendeleo yake kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Akiongea wakati wa maadhimisho ya wiki ya Nordic jijini Dar es Salaam, ...

 

9 years ago

GPL

BEN POL AFUNGUKIA UHUSIANO WAKE NA MISS TANZANIA NAMBA 2, PART 1

Ben Pol katika pozi kwenye studio za Global TV Online. MUZIKI wa Bongo Fleva unazidi kuchana mawingu kila kunavyokucha, ambapo ukizungumzia wasanii wanaotoa mchango mkubwa katika muziki huo ni vigumu sana katika ‘listi’ yako kumsahau mkali wa RnB, Benard Paul ‘Ben Pol’. Alianza gemu mwaka 2010 baada ya kutoka na kibao cha Nikikupata, baada ya hapo amewika kwa vibao vikali vingi kama vile, Jikubali,...

 

11 years ago

Habarileo

Balozi aagizwa kuboresha uhusiano

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amemtaka Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi, Wynjones Kisamba kuhakikisha azma ya Serikali ya kuona uhusiano wake na Urusi unaimarika inafikiwa.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TANESCO kuboresha uhusiano na wateja



NA MOHAMMED ISSASHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeanzisha utaratibu wa kukutana na wateja wake kwa lengo la kujenga uhusiano mzuri baina ya shirika na wateja hao. Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Usambazaji Huduma kwa Wateja wa TANESCO, Sophia Mjema, alisema utaratibu huo utaboresha uhusiano baina ya shirika na wateja pamoja na kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazojitokeza. Alisema wameanza kukutana na wateja wakubwa na badae watakutana na wateja wa kati na wadogo ili kuongeza ufanisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani