Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Mbogwe arejeshwa kwao Rwanda

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Mbogwe mkoani Geita Omari Atanas, amekamatwa na maofisa Uhamiaji wilayani hapa kurudishwa kwao nchini Rwanda baada ya kubainika sio raia wa Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Muingereza mwenye Ebola arejeshwa kwao

Muingereza aliyekuwa katika huduma za utibabu nchini Sierra Laone apata ebola na atarajiwa kutibiwa kwao

 

11 years ago

Mwananchi

Tata Mandela arejeshwa kwao Qunu leo

Mwili wa Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela unasafirishwa leo kurejeshwa kwake Kijiji cha Qunu, zikiwa ni saa 24 kabla ya kuanza kwa ibada ya mwisho ya mazishi ya kiongozi huyo yatakayofanyika kesho.

 

11 years ago

Habarileo

Mwenyekiti wa Chadema Wilaya afariki dunia

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kigoma, Bakari Menge amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Temeke atekwa nyara, ajeruhiwa

Mwenyekiti wa Chadema, Wilaya ya Temeke, Joseph Yona (32), ametekwa nyara na kujeruhiwa vibaya kwa kipigo kisha kutupwa katika vichaka eneo la Tegeta Ununio, wilayani Kinondoni a watu wasiojulikana.

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE JOSEPH YONA AHAMISHIWA MOI

Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Temeke na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Joseph Yona akipelekwa Kitengo cha Mifupa Muhimbili (MOI) kutoka wodini. ...Baadhi ya majeraha aliyoyapata Yona baada ya kupigwa na watu…

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Wilaya ya Mbogwe Geita wafanya usafi kujikinga Ya Kipindupindu  

 

Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita Mariam Lugaila ameongoza wananchi kutekeleza agizo la mkuu wa mkoa huo Fatma Mwasa la kufanya usafi.

Lengo ni kuhakikisha kila wilaya inajikinga na ugonjwa wa kipindupindu ambao umeshaingia mkoani humo.

Zoezi la usafi limefanyika katika eneo la sokoni na stendi ya mabasi mjini Masumbwe wananchi wote wakihimizwa kufanya usafi majumbani na maeneo ya kazi sambamba na kuchimba vyoo na kuvitumia.

Mkuu wa wilaya ya mbogwe Bi Mariamu Lugaila Amesema Rais John...

 

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA WILAYA YA MBOGWE WAPATA UJASIRI WA KUTUMBUA MAJIPU BAADA YA MAFUNZO YA URAGHABISHI

Na Krantz Mwantepele, Geita 
Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson Yaida na wenzake toka vijiji vya jirani kukutana na Chukua Hatua. Ni rafiki waliyekutana naye mwaka 2011 katika mazungumzo maalumu ambayo walitakiwa kuyafikisha kwa wananchi wenzao wa vijiji vya Shenda, Iponya, Nyakasumula na Bukandwe katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita. 
Ni katika mazungumzo hayo ya siku tatu, ambayo Fedson toka kijiji cha Shenda alibadilishwa na kuwa mraghbishi wa aling’amua uwezo alio nao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani