Wakazi Wilaya ya Mbogwe Geita wafanya usafi kujikinga Ya Kipindupindu Â
Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita Mariam Lugaila ameongoza wananchi kutekeleza agizo la mkuu wa mkoa huo Fatma Mwasa la kufanya usafi.
Lengo ni kuhakikisha kila wilaya inajikinga na ugonjwa wa kipindupindu ambao umeshaingia mkoani humo.
Zoezi la usafi limefanyika katika eneo la sokoni na stendi ya mabasi mjini Masumbwe wananchi wote wakihimizwa kufanya usafi majumbani na maeneo ya kazi sambamba na kuchimba vyoo na kuvitumia.
Mkuu wa wilaya ya mbogwe Bi Mariamu Lugaila Amesema Rais John...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV27 Nov
Vita Dhidi Ya Kipindupindu  Watumishi, wakazi wa Bukoba wafanya usafi
Kauli ya Rais John Magufuli ya kufanya usafi na kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu imeanza kuungwa mkono na watumishi wa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera ambao wameungana na wakazi wa manispaa hiyo kufanya usafi na kusimamia zoezi hilo.
Kitendo cha watumishi hao kinakwenda sambamba na kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu ambao hadi sasa umekwishapoteza maisha ya watu wawili katika manispaa hiyo.
Moja ya maeneo ya biashara ambayo yameamuriwa kufungwa ,kutokana na eneo hilo kukithiri kwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yRGsDg4KRGY/Xumstjqz1nI/AAAAAAALuJ0/ePRarxvUZL49M_8SpDUlVUOBW_mBjn9eQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-15%2Bat%2B10.10.57%2BPM.jpeg)
KANALI MSTAAFU NDUGU NGEMELA LUBINGA AFANYA ZIARA WILAYA YA CHATO NA MBOGWE GEITA MKOANI GEITA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-yRGsDg4KRGY/Xumstjqz1nI/AAAAAAALuJ0/ePRarxvUZL49M_8SpDUlVUOBW_mBjn9eQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-15%2Bat%2B10.10.57%2BPM.jpeg)
Mlezi wa Mkoa wa Geita Ndugu. Ngemela Lubinga ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (Siasa na Uhusiano wa Kimataifa) amefanya ziara wilayani Chato na Mbogwe Mkoani Geita.
Wilayani Chato Ndugu Lubinga amekagua na kujionea upanuzi wa Hospital ya Wilaya ya Chato pamoja na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa majengo matano ambao umekamilika kwa asilimia 97%.
Aidha amekagua pia maendeleo ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mlimani ambao umejengwa kwa nguvu ya...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mvDS5gR6I3o/VoNcLNcsM8I/AAAAAAAAXtw/aBOShEtkBwA/s72-c/1236143_172920136229682_1686983149_n.jpg)
WAKAZI WA WILAYA YA MBOGWE WAPATA UJASIRI WA KUTUMBUA MAJIPU BAADA YA MAFUNZO YA URAGHABISHI
Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson Yaida na wenzake toka vijiji vya jirani kukutana na Chukua Hatua. Ni rafiki waliyekutana naye mwaka 2011 katika mazungumzo maalumu ambayo walitakiwa kuyafikisha kwa wananchi wenzao wa vijiji vya Shenda, Iponya, Nyakasumula na Bukandwe katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita.
Ni katika mazungumzo hayo ya siku tatu, ambayo Fedson toka kijiji cha Shenda alibadilishwa na kuwa mraghbishi wa aling’amua uwezo alio nao...
9 years ago
Dewji Blog04 Jan
Waziri Ummy Mwalimu atembelea kambi ya wagonjwa wa kipindupindu Nyankumbu, Geita ahimiza usafi
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akivaa vifaa maalum vya kujikinga na kipindupindu kabla ya kuingia kwenye kambi hiyo, kulia ni Mganga mfawidhi wa Kituo hicho Josephat Msafiri.(Picha Zote na Catherine Sungura WAMJW-GEITA).
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea katika kambi ya wagonjwa wa Kipindupindu Nyankumbu, Wilayani Geita mapema Januari 4 huku akiitaka...
11 years ago
MichuziSHIRIKA LA NELICO NA MABARAZA YA WATOTO WILAYA YA GEITA WAFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO KATIKA SHIRIKA LA KIVULINI
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-lYdTioLCSds/VYKJYGgs-AI/AAAAAAADsKQ/h6o5ARjZo44/s72-c/1.jpg)
KINANA WILAYANI MBOGWE, GEITA, JANA JUNI 17, 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-lYdTioLCSds/VYKJYGgs-AI/AAAAAAADsKQ/h6o5ARjZo44/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ce9GalG-4-o/VYKJZqQm6zI/AAAAAAADsKo/dVDZse3yF1A/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Bz9tB-NFUzY/VYKJZzOu37I/AAAAAAADsK0/mBPuxmKopq4/s640/3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog18 Jun
Kinana katika ziara yake wilayani Mbogwe mkoa wa Geita
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM kushoto wakipokelewa na mganga mkuu wa kituo cha afya cha Masumbwe wilayani Mbogwe Katibu Mkuu huyo alipokagua kituo hicho na kuwasha umeme wa REA kituoni hapo akiwa katika ziara ya kikazi wilayani humo yenye lengo la kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2010-2015 inayotekelezwa na serikali, Kulia ni Dr. John Mgosha Mganga Mkuu wa kituo hicho.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ea427OgprSg/VYJE_R8L_lI/AAAAAAAHgyg/C9qQ-BCHFK8/s72-c/16.jpg)
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA WILAYANI MBOGWE MKOANI GEITA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ea427OgprSg/VYJE_R8L_lI/AAAAAAAHgyg/C9qQ-BCHFK8/s640/16.jpg)
10 years ago
VijimamboZIARA YA MKUU WA MKOA GEITA WILAYANI MBOGWE AWATAKA WACHE KUFANYA KAZI KWA MAZOEA