Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Ummy Mwalimu atembelea kambi ya wagonjwa wa kipindupindu Nyankumbu, Geita ahimiza usafi

IMG-20160104-WA0008

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akivaa vifaa maalum vya kujikinga na kipindupindu kabla ya kuingia kwenye kambi hiyo, kulia ni Mganga mfawidhi wa Kituo hicho Josephat Msafiri.(Picha Zote na Catherine Sungura WAMJW-GEITA).

Na Mwandishi wetu

Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe.  Ummy Mwalimu ametembelea katika kambi ya wagonjwa wa Kipindupindu Nyankumbu, Wilayani Geita  mapema Januari 4 huku akiitaka...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU AKAGUA KAMBI YA KIPINDUPINDU YA NYANKUMBU MKOANI GEITA

Wananchi wa Mkoa wa Geita wameaswa kufuata kanuni za usafi wa mazingira ili kudhibiti maumbukizi ya ugonjwa wa kipindupindu,Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu mara baada ya kutembelea kambi ya kipindupindu iliyopo kwenye kituo cha afya cha Nyankumbu,mkoani hapamli1Waziri Ummy akivaa vifaa maalum vya kujikinga na kipindupindu kabla ya kuingia kwenye kambi hiyo,kulia ni Mganga mfawidhi wa Kituo hicho Josephat Msafiri.(Picha Zote na Catherine...

 

5 years ago

Michuzi

WATOA HUDUMA ZA AFYA MSIWAKIMBIE WAGONJWA-WAZIRI.UMMY MWALIMU


Na WAMJW – Dar es Salaam
  Serikali imewataka wahudumu wa afya nchini kufuata kanuni na miongozo iliyopo katika kutoa huduma kwa wagonjwa kwa kufanya hivyo wataweza kuepuka kupata maambukizi kutoka kwa wagonjwa wanaowahudumia.

Rai hiyo imetolewa leo jijini  jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akipokea msaada wa vifaa vya kunawia mikono 100 vyenye ujazo wa lita 500 kutoka kwa Shirika  lisiyo la kiserikali la Water Mission...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED ATEMBELEA KAMBI ILIOKUWA YA WAGONJWA WA CORONA ZANZIBAR.

 Waziri wa Afya  Hamad Rashid Mohammed akizungumza na Maofisa wa Jeshi la kujenga uchumi mara baada  ya kuwatembelea kwa lengo la kukagua kambi iliyokua ikitumika kwa kulaza wagonjwa wa Corona,hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa skuli ya JKU iliyopo Mtoni Zanzibar. Waziri wa Afya  Hamad Rashid Mohammed (kulia)akisisitiza jambo wakati akiwa katika moja ya chumba kilichokua kikitumika kutoa huduma kwa wagonjwa wa Corona  Skuli ya JKU Mtoni Zanzibar. Waziri wa Afya Hamad Rshid Mohamed...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA, MHE. UMMY MWALIMU ATEMBELEA MSD, AAHIDI KUWA BALOZI WAO NA KUWATATULIA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI IKIWEPO DENI WANALOIDAI SERIKALI

ummy-msd 175Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitembelea moja ya ghala la kuhifadhia dawa iliyopo makao makuu ya MSD,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD Laureane Bwanakunu na watatu kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD Prof.Idris Mtulia.Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Global Publishers

Ummy Mwalimu: Wakuu wa mikoa hakikisheni mnapambana na kipindupindu

1.Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto)akisoma taarifa yake na kulia kwake ni Naibu Waziri, Dk. Hamis Kigwangala anayesaidiana naye wizarani hapo, wakizungumza na wanahabari.

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wa mikoa, wilaya na kata kuhakikisha wanakuwa na kikosi kazi cha kupambana na kipindupindu na kutoa ripoti ya utekelezaji kwa ngazi za juu kila siku.
Akizungumza na wanahabari leo jijini...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Wilaya ya Mbogwe Geita wafanya usafi kujikinga Ya Kipindupindu  

 

Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita Mariam Lugaila ameongoza wananchi kutekeleza agizo la mkuu wa mkoa huo Fatma Mwasa la kufanya usafi.

Lengo ni kuhakikisha kila wilaya inajikinga na ugonjwa wa kipindupindu ambao umeshaingia mkoani humo.

Zoezi la usafi limefanyika katika eneo la sokoni na stendi ya mabasi mjini Masumbwe wananchi wote wakihimizwa kufanya usafi majumbani na maeneo ya kazi sambamba na kuchimba vyoo na kuvitumia.

Mkuu wa wilaya ya mbogwe Bi Mariamu Lugaila Amesema Rais John...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA TAASISI YA SEKTA BINAFSI-TPSF


Na. WAMJW-DSM

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu leo amekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na kujadili namna ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini.

Katika kikao hicho, Waziri Ummy Mwalimu ameshukuru baraza hilo kwa kushirikiana na Sekta ya afya katika mapambano ya ugonjwa huo.

”Mchango wa sekta binafsi mkiwamo nyie wafanyabiashara ni muhimu kwani mtaleta manufaa makubwa katika mapambano haya,” amesema Waziri Ummy...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani