WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED ATEMBELEA KAMBI ILIOKUWA YA WAGONJWA WA CORONA ZANZIBAR.
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed akizungumza na Maofisa wa Jeshi la kujenga uchumi mara baada ya kuwatembelea kwa lengo la kukagua kambi iliyokua ikitumika kwa kulaza wagonjwa wa Corona,hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa skuli ya JKU iliyopo Mtoni Zanzibar. Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed (kulia)akisisitiza jambo wakati akiwa katika moja ya chumba kilichokua kikitumika kutoa huduma kwa wagonjwa wa Corona Skuli ya JKU Mtoni Zanzibar. Waziri wa Afya Hamad Rshid Mohamed...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziJUMUIYA YA MAAFISA AFYA ZANZIBAR YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VIFAA TIBA, KAMBI YA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU CHUMBUNI ZANZIBAR.
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA WAGONJWA WA MARADHI YA KIPIDUPINDU KATIKA KITUO CHA AFYA KARAKANA
Baadhi ya Wagonja walifikishwa Hospitali hapo kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kupata maradhi ya matumbo ya kuharisha (kipindupindu). Mwandishi wa Habari Rahma Suleiman akichukua maelezo kwa Mgonjwa aliyefika katika kituo hicho mara baada ya kupata hujambo. Naibu Waziri wa Afya Mahmoudu Thabiti Kombo akionyesha ramani ya maeneo yanayoathiriwa zaidi na ugonjwa wa maradhi ya matumbo.Naibu Waziri wa Afya Mahmoudu Thabiti Kombo akipata maelezo kwa Dkt. Dhamana Fadhili Ramadhan...
9 years ago
Dewji Blog04 Jan
Waziri Ummy Mwalimu atembelea kambi ya wagonjwa wa kipindupindu Nyankumbu, Geita ahimiza usafi
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akivaa vifaa maalum vya kujikinga na kipindupindu kabla ya kuingia kwenye kambi hiyo, kulia ni Mganga mfawidhi wa Kituo hicho Josephat Msafiri.(Picha Zote na Catherine Sungura WAMJW-GEITA).
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea katika kambi ya wagonjwa wa Kipindupindu Nyankumbu, Wilayani Geita mapema Januari 4 huku akiitaka...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA KIBAHA ILIYOTENGWA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA
10 years ago
Habarileo09 Sep
Hamad Rashid kugombea urais Zanzibar
MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF) ametangaza kugombea urais wa Zanzibar huku akimtuhumu na kumkosoa Katibu Mkuu wa chama chake, Seif Sharif Hamad.
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI WILAYA YA KIBAHA ILIYOTENGWA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA
Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa tatu kulia) wakati alipokagua hospitali ya wilaya ya kibaha iliyopo eneo la Lulanzi ambayo imetengwa kwa ajili ya kuwahuduma kwa wagonjwa wa Coroma, Machi 28, 2020. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo na wa pili kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Bakari.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua wodi za...
5 years ago
Michuzi11 years ago
MichuziMaalim Seif Sharif Hamad atembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa Pemba
9 years ago
MichuziMh. Hamad Rashid afungua kampeni za urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC kisiwani pemba