Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAGONJWA WA COVID-19 WAFIKIA 19 - WAZIRI UMMY


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wagonjwa wa Covid 19 wafikia 142,000 nchini Marekani

Maambukizi ya virusi vya corona nchini Marekani yameongezeka na kufikia 142,000 kulifanya taifa hilo kuongoza duniani, huku waliopoteza maisha wakifikia 2,500.

Katika jimbo la New York pekee, watu zaidi ya 1,000 wameripotiwa kufa, ikiwa ni chini ya mwezi mmoja tangu mgonjwa wa mwanzo kugundulika kwenye jimbo hilo.

Kufikia jioni ya jana, eneo la mjini la jimbo hilo lilitangaza kuwa vifo vimefikia 776, huku miji mingine ikitangaza vifo 250, na hivyo kuifanya idadi kamili ya waliopoteza maisha...

 

5 years ago

Michuzi

Rwanda yaongoza Afrika Mashariki kwa Maambukizi ya COVID-19, wagonjwa wafikia 70

Rwanda imethibitisha visa 10 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa Corona  siku ya Jumapili na kufikisha 70 jumla ya watu wanaougua corona, Wizara ya afya Rwanda imetangaza.
Katika hotuba yake kwa taifa usiku wa Ijumaa Rais Paul Kagame alisema idadi hiyo itaendelea kuongezeka kwasababu wale waliotangamana na waathirika wanaendelea kutafutwa.
Katika visa vya hivi punde vya maambukizi, watu sita walitokea Dubai, wawili kutoka Afrika Kusini, mmoja kutoka Nigeria na mwigine alikuwa amesafiri maeneo...

 

5 years ago

Michuzi

WATOA HUDUMA ZA AFYA MSIWAKIMBIE WAGONJWA-WAZIRI.UMMY MWALIMU


Na WAMJW – Dar es Salaam
  Serikali imewataka wahudumu wa afya nchini kufuata kanuni na miongozo iliyopo katika kutoa huduma kwa wagonjwa kwa kufanya hivyo wataweza kuepuka kupata maambukizi kutoka kwa wagonjwa wanaowahudumia.

Rai hiyo imetolewa leo jijini  jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akipokea msaada wa vifaa vya kunawia mikono 100 vyenye ujazo wa lita 500 kutoka kwa Shirika  lisiyo la kiserikali la Water Mission...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 24, WATATU WAMEPONA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati alipohitimisha hoja  kuhusu  Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa Mwaka 2020/2021, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU: WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 24, WATATU WAMEPONA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hadi leo, hapa nchini kuna wagonjwa 24 waliothibitika kuwa na ugonjwa wa Homa...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU MAJALIWA: WAGONJWA WA CORONA TANZANIA WAFIKIA 284

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema, hadi Aprili 21, 2020 jumla ya Wagonjwa 284 wamethibitika kuwa na Virusi vya Corona. Wagonjwa 256 wanaendelea vizuri, 7 wako kwenye uangalizi maalum, 11 wamepona na 10 wamefariki
Mara ya mwisho Waziri wa Afya  Ummy Mwalimu alitoa taarifa kuwa jumla ya visa vya wagonjwa wa Corona  ilikuwa 254 baada ya Wagonjwa 84 kuongezeka
Aidha, Waziri Mkuu amesema jumla ya watu 2,815 waliokuwa karibu na Wagonjwa wamefuatiliwa afya zao ambapo kati yao, watu 1733 hawana...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Ummy Mwalimu atembelea kambi ya wagonjwa wa kipindupindu Nyankumbu, Geita ahimiza usafi

IMG-20160104-WA0008

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akivaa vifaa maalum vya kujikinga na kipindupindu kabla ya kuingia kwenye kambi hiyo, kulia ni Mganga mfawidhi wa Kituo hicho Josephat Msafiri.(Picha Zote na Catherine Sungura WAMJW-GEITA).

Na Mwandishi wetu

Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe.  Ummy Mwalimu ametembelea katika kambi ya wagonjwa wa Kipindupindu Nyankumbu, Wilayani Geita  mapema Januari 4 huku akiitaka...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AZITAKA HOSPITALI ZOTE NCHINI KUACHA KUWADAI DAMU WAGONJWA KABLA YA HUDUMA


Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wachangia Damu Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma mapema leo.Picha mbalimbali zikionesha Waziri Ummy Mwalimu akiwajulia hali wananchi waliojitokeza kutoa damu katika Kituo cha Damu Salama kilichopo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.Meneja wa Mpango wa Damu Salama nchini Dkt. Magdalena Lyimo akifafanua jambo kwa Waziri Ummy...

 

11 years ago

Mwananchi

Wagonjwa wa dengue wafikia 376

Homa ya dengue inaendelea kushika kasi nchini baada ya takwimu za Januari hadi juzi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kuonyesha kuwa watu 376

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani