Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rwanda yaongoza Afrika Mashariki kwa Maambukizi ya COVID-19, wagonjwa wafikia 70

Rwanda imethibitisha visa 10 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa Corona  siku ya Jumapili na kufikisha 70 jumla ya watu wanaougua corona, Wizara ya afya Rwanda imetangaza.
Katika hotuba yake kwa taifa usiku wa Ijumaa Rais Paul Kagame alisema idadi hiyo itaendelea kuongezeka kwasababu wale waliotangamana na waathirika wanaendelea kutafutwa.
Katika visa vya hivi punde vya maambukizi, watu sita walitokea Dubai, wawili kutoka Afrika Kusini, mmoja kutoka Nigeria na mwigine alikuwa amesafiri maeneo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA AFRIKA MASHARIKI KWA UWEKEZAJI

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dk. Florence Turuka (wa pili kulia) akionyesha ripoti ya Dunia ya mwaka 2015 kuhusu uwekezaji mara tu baada ya kuizindua kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia  ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Nakuala Senzia (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya TIC,  Prof. Lucian Msambichaka (wa pili kushoto) na Mjumbe wa kamati ya Bodi ya TIC, Dr Frances Shao. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dk....

 

5 years ago

CCM Blog

RWANDA YAONGOZA AFRIKAMASHARIKIKWA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA

  Rwanda imethibitisha visa 10 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa Corona  siku ya Jumapili na kufikisha 70 jumla ya watu wanaougua corona, Wizara ya afya Rwanda imetangaza.
Katika hotuba yake kwa taifa usiku wa Ijumaa Rais Paul Kagame alisema idadi hiyo itaendelea kuongezeka kwasababu wale waliotangamana na waathirika wanaendelea kutafutwa.
Katika visa vya hivi punde vya maambukizi, watu sita walitokea Dubai, wawili kutoka Afrika Kusini, mmoja kutoka Nigeria na mwigine alikuwa amesafiri maeneo...

 

5 years ago

Michuzi

Wagonjwa wa Covid 19 wafikia 142,000 nchini Marekani

Maambukizi ya virusi vya corona nchini Marekani yameongezeka na kufikia 142,000 kulifanya taifa hilo kuongoza duniani, huku waliopoteza maisha wakifikia 2,500.

Katika jimbo la New York pekee, watu zaidi ya 1,000 wameripotiwa kufa, ikiwa ni chini ya mwezi mmoja tangu mgonjwa wa mwanzo kugundulika kwenye jimbo hilo.

Kufikia jioni ya jana, eneo la mjini la jimbo hilo lilitangaza kuwa vifo vimefikia 776, huku miji mingine ikitangaza vifo 250, na hivyo kuifanya idadi kamili ya waliopoteza maisha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ripoti: Rwanda inaongoza kwa utawala bora Afrika Mashariki

Rwanda inaongoza kwa utawala bora katika eneo la Afrika Mashariki, kwa mujibu wa ripoti mpya kuhusu utawala barani Afrika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Kuzuia maambukizi ya Covid 19 ni hatia kutembesha mbwa Afrika Kusini

Waziri wa afya Zweli Mkhize awali Jumatano alisema kuwa watu wangeruhusiwa kukimbia na kutembea na mbwa wao, mradi wangefanya kwa uwajibikaji

 

9 years ago

Michuzi

WAGONJWA WA KIPINDUPINDU KWA MIKOA YA ARUSHA NA MWANZA WAFIKIA 171

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.TAKWIMU za Ugonjwa wa Kipindupindu zinaonesha kupanda kwa mikoa ya Mwanza na Arusha kwa kuwa na wagonjwa 171, kutoka wagonjwa wa mwanzo 105.
Katika mkoani Arusha maambukizi yameongezeka kutoka wagonjwa 60 hadi kufikia wangonjwa 111 huku mkoa wa Mwanza maambukizi mapya kutoka wagonjwa 45 hadi 60.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kasi ya...

 

10 years ago

Michuzi

mkutano wa siku tano wa Majaji na Mahakimu wa Afrika ya Mashariki wafunguliwa mjini Kigali,Rwanda

Jaji Mkuu wa Zanzibar Mh. Omar Othman Makungu,akifungua mafunzo ya Majaji na Mahakimu wa Afrika ya Mashariki kuhusiana na mkakati wa kupiga vita masuala ya Ugaidi uhalifu wa Kimataifa ambayo yanahatarisha usalama wa wananchi wake pamoja na wageni,semina hiyo inafanyika Lagema Nungwi. Jaji Mkuu wa Zanzibar Mh. Omar Othman Makungu (katikati),akifuatana na Jaji Mkuu wa Sudan ya Kusini Chaan Reec Madut (kushoto),mara baada ya kuyafungua mafunzo ya siku tano juu ya mikakati ya kuupiga vita...

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani