Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RWANDA YAONGOZA AFRIKAMASHARIKIKWA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA

  Rwanda imethibitisha visa 10 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa Corona  siku ya Jumapili na kufikisha 70 jumla ya watu wanaougua corona, Wizara ya afya Rwanda imetangaza.
Katika hotuba yake kwa taifa usiku wa Ijumaa Rais Paul Kagame alisema idadi hiyo itaendelea kuongezeka kwasababu wale waliotangamana na waathirika wanaendelea kutafutwa.
Katika visa vya hivi punde vya maambukizi, watu sita walitokea Dubai, wawili kutoka Afrika Kusini, mmoja kutoka Nigeria na mwigine alikuwa amesafiri maeneo...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya maambukizi yapanda zaidi kwa siku Uganda, huku mtu wa kwanza akifariki Rwanda

Idadi ya maambukizi ya Virusi vya corona imeongezeka kwa kiwango cha juu zaidi kuwahi kushuhudiwa kwa siku moja nchini zaidi kwa siku Uganda, huku mtu wa kwanza akifariki Rwanda.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mikutano mikubwa ya Kampeni za uchaguzi yaibua hofu ya maambukizi ya virusi vya corona

Picha zinazoonyesha mikusanyiko ya maelfu ya watu waliokusanyika Jumatatu kwa uzinduzi wa mikutano ya kampeni za kisiasa nchini zimeibua wasi wasi mkubwa ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona kabla ya taifa hilo kufanya uchaguzi unaotarajiwa tarehe 20 Mei mwaka huu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kuvuta maji ya choo 'kunaweza kurusha virusi vya maambukizi futi 3 hewani'

Kusukuma maji ya choo cha ndani kunaweza kusababisha wingu ambalo la sprey ambalo linaweza kuvutwa kwa pua na linaweza kusambaza maambukizi, kama vile virusi vya corona, wanasema watafiti.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je maambukizi ya mwisho ya virusi hivyo yatafanyika wapi?

Chini ya miezi mitatu iliyopita- virusi vya coronavirus vilikua ndani ya Uchina pekee. Hapakua na kisa hata kimoja kilichokua kimepatikana nje ya nchi hiyo ambako virusi hivyo vilianzia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watu 'wasiojua wana virusi’ wanavyochangia kuongezeka kwa maambukizi

Wanasayansi wamepata ushahidi wa kushangaza kuhusu jinsi virusi vya corona vinavyosambazwa

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je kipimajoto kinaweza kugundua maambukizi ya corona?

Kipima joto kinaweza kutumika kubaini ikiwa mtu ameambukizwa virusi vya corona?

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wagonjwa wa corona 4 wafariki huku 15 wakipata maambukizi Kenya

Kenya imeripoti jumla ya visa 411 vya maambukizi ya virusi vya corona Ijumaa, kwa mujibu wa taarifa za hivi punde zilizotangazwa na Waziri wa Afya wan chi hiyo Bwana Mutahi Kagwe

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: 80 wapatwa na maambukizi ya corona Kenya, akiwemo mtoto mchanga

Jumla ya watu waliopata virusi vya coroni nchini Kenya imefikia 1,109, Wizara ya Afya imetangaza Alhamisi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watu 24 wapatikana na maambukizi ya corona kwa siku moja Kenya

Kenya imerekodi idadi kubwa ya maambukizi ya corona kwa siku moja , kuwahi kushuhudiwa tangu kisa cha kwanza cha maambukizi hayo kilipotangazwa tarehe 12 Machi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani