TANZANIA YAONGOZA AFRIKA MASHARIKI KWA UWEKEZAJI
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dk. Florence Turuka (wa pili kulia) akionyesha ripoti ya Dunia ya mwaka 2015 kuhusu uwekezaji mara tu baada ya kuizindua kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Nakuala Senzia (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya TIC, Prof. Lucian Msambichaka (wa pili kushoto) na Mjumbe wa kamati ya Bodi ya TIC, Dr Frances Shao.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dk....
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NjyyuEV20cY/XoHkLUle3BI/AAAAAAALlh8/PmM1csaW52ITn8T4SMgXpu5g_wj8-1jywCLcBGAsYHQ/s72-c/xpresident-paul-kagame.jpg.pagespeed.ic.jpd2dkVyRN.jpg)
Rwanda yaongoza Afrika Mashariki kwa Maambukizi ya COVID-19, wagonjwa wafikia 70
![](https://1.bp.blogspot.com/-NjyyuEV20cY/XoHkLUle3BI/AAAAAAALlh8/PmM1csaW52ITn8T4SMgXpu5g_wj8-1jywCLcBGAsYHQ/s640/xpresident-paul-kagame.jpg.pagespeed.ic.jpd2dkVyRN.jpg)
Katika hotuba yake kwa taifa usiku wa Ijumaa Rais Paul Kagame alisema idadi hiyo itaendelea kuongezeka kwasababu wale waliotangamana na waathirika wanaendelea kutafutwa.
Katika visa vya hivi punde vya maambukizi, watu sita walitokea Dubai, wawili kutoka Afrika Kusini, mmoja kutoka Nigeria na mwigine alikuwa amesafiri maeneo...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Tanzania yaongoza kuvutia mitaji ya nje ya uwekezaji
TANZANIA inaongoza kama nchi yenye mitaji mikubwa ya uwekezaji toka nje katika Afrika Mashariki. Kwa mujibu wa taarifa ya hivi karibuni ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Biashara na...
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Tanzania yaongoza kuvutia mitaji A. Mashariki
11 years ago
MichuziTANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Tiyt1Izo91k/U2uzPcb-GlI/AAAAAAAFgVo/7H-xETYCFFY/s72-c/unnamed.jpg)
TANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA (CHILDREN AND ARMED CONFLICTS IN AFRICA) JIJINI ADDIS ABABA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Tiyt1Izo91k/U2uzPcb-GlI/AAAAAAAFgVo/7H-xETYCFFY/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--PHe5LdsWVc/VTpv_cXMssI/AAAAAAAHS_c/vN4axDnjy4c/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-04-24%2Bat%2B7.30.30%2BPM.png)
MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....
11 years ago
MichuziHEIFER INTERNATIONAL TANZANIA YAZINDUA MRADI MKUBWA WA KUENDELEZA SEKTA YA MAZIWA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
Waziri Mkuchika: Tanzania ni nchi ya pili Afrika Mashariki kwa Utawala Bora na Vita dhidi ya Rushwa
Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam.
Hussein Makame-MAELEZO
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema kuwa Tanzania inashika nafasi ya pili kati ya nchi tano za Shirikisho la Afrika Mashariki katika suala la Utawala Bora na vita dhidi ya Rushwa.
Waziri Mkuchika amayasema hayo wakati akizindua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma...
10 years ago
VijimamboBalozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe, Liberata Mulamula aanda chakula cha jioni kwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao kwa ukanda wa Afrika Mashariki nyumbani kwake Bethesda ,Maryland tarehe 11/02/2015
Balozi wa Ethiopia nchini Marekani na mwenyekiti wa mabalozi wa kanda ya Afrika Mashariki Mhe, Girma Birru akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi, Mhe Liberata Mulamula.
Balozi wa Uganda nchini Marekani Oliver Wonekha ambaye ni mmoja wa mabalozi kutoka kanda ya Afrika Mashariki akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi. Mhe Liberata Mulamula.
Balozi wa Burundi nchini Marekani Mhe, Ernest Ndabashinze akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi Mhe, Liberata Mulamula.
Balozi...