WAZIRI MKUU MAJALIWA: WAGONJWA WA CORONA TANZANIA WAFIKIA 284
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema, hadi Aprili 21, 2020 jumla ya Wagonjwa 284 wamethibitika kuwa na Virusi vya Corona. Wagonjwa 256 wanaendelea vizuri, 7 wako kwenye uangalizi maalum, 11 wamepona na 10 wamefariki
Mara ya mwisho Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alitoa taarifa kuwa jumla ya visa vya wagonjwa wa Corona ilikuwa 254 baada ya Wagonjwa 84 kuongezeka
Aidha, Waziri Mkuu amesema jumla ya watu 2,815 waliokuwa karibu na Wagonjwa wamefuatiliwa afya zao ambapo kati yao, watu 1733 hawana...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU: WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 24, WATATU WAMEPONA
WAZIRI MKUU: WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 24, WATATU WAMEPONA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hadi leo, hapa nchini kuna wagonjwa 24 waliothibitika kuwa na ugonjwa wa Homa...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU MAJALIWA: WAGONJWA WAWILI WA CORONA WAONGEZEKA
Hata hivyo, Waziri Mkuu amewaagiza Wakuu wa Mikoa waimarishe ulinzi kwenye vituo vyote vilivyotengwa kwa ajili ya kuwaweka watu wote wanaoingia nchini na wahakikishe hakuna anayetoka ili kuepuka kusambaa kwa virusi vya corona.
Waziri...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA KIBAHA ILIYOTENGWA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI WILAYA YA KIBAHA ILIYOTENGWA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA
Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa tatu kulia) wakati alipokagua hospitali ya wilaya ya kibaha iliyopo eneo la Lulanzi ambayo imetengwa kwa ajili ya kuwahuduma kwa wagonjwa wa Coroma, Machi 28, 2020. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo na wa pili kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Bakari.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua wodi za...
5 years ago
CCM BlogWAGONJWA WA CORONA TANZANIA WAFIKIA 147
Idadi ya wagonjwa wa Corona Tanzania imeongezeka nakufikia 147 baada ya wagonjwa wapya 53 kukutwa na virusi hivyo .
Akiongea na vyombo vya habari leo Ijumaa April 17,2020, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema wagonjwa wote hao ni watanzania ambapo 38 ni kutoka Dar es Salaam,10 Zanzibar,Kilimanjaro 1,Mwanza 1,Pwani 1,Lindi 1,na Kagera 1
Waziri Ummy amesema mgonjwa mmoja amefariki dunia na hivyo kufanya idadi ya waliofariki hadi sasa kufika 05 na waliopona ni 11.
5 years ago
CCM Blog5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKABIDHI MAGARI 10 YA KUBEBEA WAGONJWA KWA WABUNGE
5 years ago
CCM Blog5 years ago
CCM BlogWAGONJWA WA CORONA KENYA WAFIKIA 384
Akiongea na Waandishi wa habari leo, Aprili 29, 2020 Katibu wa Afya Mercy Mwangangi amesema katika saa 24 zilizopita sampuli 580 kutoka kaunti 24 zilipimwa dhidi ya homa hiyo.