Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Temeke atekwa nyara, ajeruhiwa
Mwenyekiti wa Chadema, Wilaya ya Temeke, Joseph Yona (32), ametekwa nyara na kujeruhiwa vibaya kwa kipigo kisha kutupwa katika vichaka eneo la Tegeta Ununio, wilayani Kinondoni a watu wasiojulikana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE JOSEPH YONA AHAMISHIWA MOI
10 years ago
BBCSwahili25 Jan
Waziri atekwa nyara na wanamgambo Libya
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
Balozi wa Jordan atekwa nyara Libya
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Kiongozi wa upinzani atekwa nyara Burundi
11 years ago
GPLMWENYEKITI WA CHADEMA TEMEKE AVAMIWA, APIGWA, ATUPWA UNUNIO
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Mamaake Samson Siasia atekwa nyara Nigeria
11 years ago
GPLCHADEMA YATOA TAMKO KUFUATIA MAUAJI YA MWENYEKITI WA CHAMA TEMEKE
11 years ago
Habarileo13 Mar
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya afariki dunia
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kigoma, Bakari Menge amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.
10 years ago
Habarileo28 Dec
Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Mbogwe arejeshwa kwao Rwanda
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Mbogwe mkoani Geita Omari Atanas, amekamatwa na maofisa Uhamiaji wilayani hapa kurudishwa kwao nchini Rwanda baada ya kubainika sio raia wa Tanzania.