Waziri atekwa nyara na wanamgambo Libya
Wanamgambo wamemteka nyara naibu waziri wa maswala ya kigeni katika serikali inayotambuliwa kimataifa nchini Libya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
Balozi wa Jordan atekwa nyara Libya
Balozi wa Jordan nchini Libya ametekwa nyara mjini Tripoli, katika shambulizi ambalo limemwacha dereva wake na majeraha mabaya.
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Kiongozi wa upinzani atekwa nyara Burundi
Mbunge wa zamani katika bunge la Afrika mashariki Francois Bizimana ameripotiwa kutekwa nyara siku ya jumapili mjini Bujumbura
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Mamaake Samson Siasia atekwa nyara Nigeria
Wapiganaji wamemteka nyara mamaake aliyekuwa mchezaji wa Nigeria Samson Siasa.
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Temeke atekwa nyara, ajeruhiwa
Mwenyekiti wa Chadema, Wilaya ya Temeke, Joseph Yona (32), ametekwa nyara na kujeruhiwa vibaya kwa kipigo kisha kutupwa katika vichaka eneo la Tegeta Ununio, wilayani Kinondoni a watu wasiojulikana.
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Libya kuwakabili wanamgambo,Tripol
Serikali ya Libya imesema imeamuru vikosi vyake kuingia mjini Tripoli kupambana na wanamgambo wenye silaha.
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Wanamgambo kuchukuliwa hatua Libya
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotoa wito wa kusitisha mapigano nchini Libya.
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Libya:Bunge lashtumu wanamgambo
Bunge jipya la Libya limeshtumu muungano wa wanamgambo ambao unajaribu kuuteka uwanja wa ndege wa mji wa Tripoli.
11 years ago
BBCSwahili08 Mar
Wanamgambo wa Libya wasafirisha mafuta
Wanamgambo wa Libya wasafirisha wenyewe mafuta ya nchi na wayapeleka Korea Kaskazini
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
Wapiganaji waiteka nyara hoteli Libya
Watu wenye silaha wameshambulia mojawepo ya hoteli maarufu zaidi katika mji mkuu wa Libya-Tripoli.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania