Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapiganaji waiteka nyara hoteli Libya

Watu wenye silaha wameshambulia mojawepo ya hoteli maarufu zaidi katika mji mkuu wa Libya-Tripoli.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wa Jihad waiteka miji zaidi

Wapiganaji wa Jihadi waendelea kuyateka maeneo zaidi nchini Iraq,baada ya kuliteka eneo moja la kivuko karibu na mpaka wa Syria,

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji watekwa nyara, Syria

Baadhi ya askari kutoka katika kikosi cha polisi, kilichoundwa na wapiganaji wa Islamic State, wametekwa nyara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri atekwa nyara na wanamgambo Libya

Wanamgambo wamemteka nyara naibu waziri wa maswala ya kigeni katika serikali inayotambuliwa kimataifa nchini Libya.

 

11 years ago

BBCSwahili

Balozi wa Jordan atekwa nyara Libya

Balozi wa Jordan nchini Libya ametekwa nyara mjini Tripoli, katika shambulizi ambalo limemwacha dereva wake na majeraha mabaya.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wavamia bunge Libya

Watu waliokuwa wamejihami walivamia majengo ya bunge nchini Libya na kulazimisha wabunge kusitisha shughuli ya kumteua waziri mkuu mpya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wateka wizara za serikali Libya

Wapiganaji nchini Libya wameteka ofisi na majengo ya wizara za serikali mjini Tripoli na kuwazuia wafanyakazi kuingia ofisini

 

10 years ago

StarTV

Misri yashambulia wapiganaji wa ISIS Libya

Taarifa kutoka Misri zasema kuwa, ndege za kijeshi zimewashambulia wapiganaji wa jihadi nchini Libya kwa mabomu, baada ya kutolewa kwa mkanda wa video ulioonyesha wakristo wa Misri wa madhehebu ya Coptic wakikatwa shingo.

Jeshi la Misri linasema kuwa limelenga kambi za Islamic State, kituo cha mafunzo na maghala ya silaha, katika shambulizi hilo la mapema leo alfajiri.

Walioshuhudia wanasema kuwa, mji wa Derna ulioko mashariki mwa Libya na ambao umetekwa na wapiganaji wa jihadi ndio...

 

10 years ago

BBCSwahili

Magaidi washambulia hoteli,Libya

Watu wenye silaha wamevamia Hoteli ya hadhi ya juu mjini Tripoli nchini Libya na kisha kutega mabomu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hoteli yashambuliwa Tripoli, Libya

Watu wenye silaha wameshambulia hoteli moja mjini Tripoli na kuwaua walinzi watatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani