Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapiganaji wateka wizara za serikali Libya

Wapiganaji nchini Libya wameteka ofisi na majengo ya wizara za serikali mjini Tripoli na kuwazuia wafanyakazi kuingia ofisini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji waislamu wateka mikoa Iraq

Wapiganaji wa Islamic State of Iraq na Levant kutoka Syria wameteka mikoa kadhaa nchini ambapo maelfu ya watu wametoroka kwao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wizara zaasi serikali Libya

Wizara ya maswala ya ndani imemuunga mkono muanzilishi wa uasi unaotaka kuingoa serikali madarakani

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wavamia bunge Libya

Watu waliokuwa wamejihami walivamia majengo ya bunge nchini Libya na kulazimisha wabunge kusitisha shughuli ya kumteua waziri mkuu mpya.

 

10 years ago

StarTV

Misri yashambulia wapiganaji wa ISIS Libya

Taarifa kutoka Misri zasema kuwa, ndege za kijeshi zimewashambulia wapiganaji wa jihadi nchini Libya kwa mabomu, baada ya kutolewa kwa mkanda wa video ulioonyesha wakristo wa Misri wa madhehebu ya Coptic wakikatwa shingo.

Jeshi la Misri linasema kuwa limelenga kambi za Islamic State, kituo cha mafunzo na maghala ya silaha, katika shambulizi hilo la mapema leo alfajiri.

Walioshuhudia wanasema kuwa, mji wa Derna ulioko mashariki mwa Libya na ambao umetekwa na wapiganaji wa jihadi ndio...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji waiteka nyara hoteli Libya

Watu wenye silaha wameshambulia mojawepo ya hoteli maarufu zaidi katika mji mkuu wa Libya-Tripoli.

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yaendelea kuimarisha ukaguzi wa Ndani Wizara na Taasisi za Serikali

Mkuu wa Ukaguzi wa ndani toka Wizara ya Fedha na Mipango Bw.Mohamed Mtonga akiwaeleza waandishi wa Habari kuhusu miongozo mbalimbali iliyolewa na Serikali ikiwa ni moja ya hatua za kuimarisha vitengo vya ukaguzi wa ndani katika Wizara na Taasisi za Serikali kote nchini ili kuongeza tija,kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara Hiyo Bi. Ingiahedi Mduma na kushoto ni Kaimu Mkaguzi mkuu wa ndani bW. Chotto Sendo.Baadhi ya waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa Wizara ya fedha na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Mambo ya Nje yathibitisha kifo cha balozi wa Libya aliyejipiga risasi usiku wa kuamkia leo

bernard-membe

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Benard Membe.

Na Mwandishi wetu.

Balozi wa Libya nchini Mh. Ismail Nwairat amefariki dunia  jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo baada ya kujipiga risasi ya kifuani upande wa kushoto akiwa ofisini kwake.

Taarifa iliyotolewa na  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ilisema kuwa,  ilipokea taarifa kutoka kwenye Ubalozi huo kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya,  Ismail Nwairat amefariki dunia  kwa kujipiga risasi.

Hata...

 

10 years ago

BBCSwahili

Libya kuunda serikali ya Umoja?

Kiongozi wa serikali ya Libya inayotambuliwa kimataifa, ana matumaini ya kugawana madaraka na wapinzani

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri wa serikali Libya auawa

Naibu Waziri wa viwanda nchini Libya ameuawa kwa kupigwa risasi wakati alipokuwa ziarani mjini Sirte Mashariki mwa Tripoli ambako alizaliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani