Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa serikali Libya auawa

Naibu Waziri wa viwanda nchini Libya ameuawa kwa kupigwa risasi wakati alipokuwa ziarani mjini Sirte Mashariki mwa Tripoli ambako alizaliwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa polisi auawa nchini Libya

Mkuu wa polisi katika mji mkuu wa Libya Tripoli, ameuawa na watu wasiojulikana wakati akitoka kwenye mkutano wa usalama

 

10 years ago

BBCSwahili

Mpiganaji wa Kiislam Mokhtar auawa Libya

Mpiganaji mwandamizi Mokhtar Belmokhtar ameripotiwa kuuawa katika mashambuli ya anga ya Marekani Jumamosi nchini Libya

 

10 years ago

GPL

KAMANDA WA NGAZI YA JUU WA AL QAEDA AUAWA LIBYA

Kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la Al Qaeda, Mokhtar Belmokhtar aliyeuawa. KAMANDA wa ngazi ya juu wa Kundi la Kigaidi la Al Qaeda, Mokhtar Belmokhtar ameuawa katika mashambulizi ya yaliyofanywa na Jeshi la Marekani nchini Libya. Inasemekana kuwa, watu wengine kadhaa wameuawa wakati wa mashambulizi hayo. Kwa upande wake, Wizara ya Ulinzi ya Marekani kupitia Makao Makuu ya Jeshi la nchi hiyo (Pentagon) imedai kuhusika...

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri wa zamani wa Lebanon auawa

Aliyekuwa waziri wa fedha wa Lebanon Mohamad Chatah auawa kwa Bomu

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mpalestina auawa katika maandamano

Waziri wa Palestina amefariki kufutia mgogoro na wanajeshi wa Israel katika maandamano yaliyofanywa katika Ukingo wa Magharibi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri auawa kwa kusinzia mbele ya rais

Waziri wa ulinzi wa Korea Kaskazini ameuawa kwa kutokuwa muaminifu kwa kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong-un.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Libya azuiwa kusafiri

Aliyekuwa Waziri mkuu wa Libya Ali Zeidan akatazwa kusafiri nje ya nchi hiyo hadi uchunguzi dhidi yake utakapokamilika

 

11 years ago

BBCSwahili

Jaribio la kumuua waziri Libya latibuka

Kumekuwa na jaribio lililotibuka la kumuua kaimu waziri wa mambo ya ndani nchini Libya Al-Sidik Abdel-Karim.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri atekwa nyara na wanamgambo Libya

Wanamgambo wamemteka nyara naibu waziri wa maswala ya kigeni katika serikali inayotambuliwa kimataifa nchini Libya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani