Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muingereza mwenye Ebola arejeshwa kwao

Muingereza aliyekuwa katika huduma za utibabu nchini Sierra Laone apata ebola na atarajiwa kutibiwa kwao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tata Mandela arejeshwa kwao Qunu leo

Mwili wa Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela unasafirishwa leo kurejeshwa kwake Kijiji cha Qunu, zikiwa ni saa 24 kabla ya kuanza kwa ibada ya mwisho ya mazishi ya kiongozi huyo yatakayofanyika kesho.

 

10 years ago

Habarileo

Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Mbogwe arejeshwa kwao Rwanda

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Mbogwe mkoani Geita Omari Atanas, amekamatwa na maofisa Uhamiaji wilayani hapa kurudishwa kwao nchini Rwanda baada ya kubainika sio raia wa Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia muingereza aambukizwa Ebola

Raia mmoja wa Uingereza anayeishi nchini Sierra leone ameambukizwa virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Muingereza aliyepona Ebola kurejea Afrika

Mwanaume wa kwanza Muingereza kuambukizwa Ebola, akiwa Afrika anatarajiwa kurejea Afrika ambako aliambukizwa.

 

9 years ago

Vijimambo

MDAU WA VIJIMAMBO AKIWA KIJIJI KWAO MKATAA KWAO MTUMWA

 Ustadh Maftah  wa New York akiwa Kilwa aliturushia hii kuonyesha kuwa mkataa kwao ni mtubwa hapa Ustadh Mafutah akiwa na shangazi yake Zureha bint Maftah wakielekea kisiwani kutoka Kilwa masoko Lindi.
 Hii ni ramani ya kisiwani, kisiwa hiki ni maarufu sana katika karne ya 9 kilikuwa kina milikiwa na sultan Ali bin Al-Hasan hapa ndipo palikuwa makazi yake katika karne hiyo ya 9 hadi karne ya 15.  Alijenga Msikiti mkubwa sana na alifanya kituo kikubwa cha kubairishia watumwa na kuwasafirisha...

 

10 years ago

Vijimambo

Mjue Dr. Slaa, msomi, mpole, mkarimu, mwenye busara na mwenye tabasamu la kudumu

Na Yericko Nyerere
Dr. Slaa si mtu mwenye maneno mengi, ni mtulivu na mkimya kiasi chake, mwenye tabasamu la kudumu, lakini akipanda jukwaani na kuanza kulishambulia huku na kule huwezi kuamini kinachotoka ubongoni mwake. Kimya kingi kina mshindo.

Wengi hawamfahamu Dr. Slaa vilivyo, wengi wanamwona sasa baada ya kuingia bungeni na sasa katika majukwaa ya siasa, ukweli ni mtu mbunifu, mpenda maendeleo na mwenye kujitoa kwa ajili ya wengine bila kujibakiza. Ufahamu wangu wa huyu Dr. Slaa ni wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Muingereza mwengine akatwa kichwa

Kundi la wanamgambo wa kiislamu la Islamic state limetoa ukanda wa video unaoonyesha mateka Alan Henning akikatwa kichwa.

 

9 years ago

Habarileo

Simanzi Kombani arejeshwa nyumbani

SIMANZI, majonzi na vilio vilitawala jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, wakati ndege ya Shirika la Ndege la Emirates, iliyobeba mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani (pichani), ilipokuwa ikitua katika uwanja huo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Askofu Tutu arejeshwa hospitali

Askofu Desmond Tutu na mshindi wa nishani ya Nobel amerejeshwa tena Hospitali kwa matibabu zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani