Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muingereza mwengine akatwa kichwa

Kundi la wanamgambo wa kiislamu la Islamic state limetoa ukanda wa video unaoonyesha mateka Alan Henning akikatwa kichwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mateka mwengine akatwa kichwa na IS

Uingereza inachukua hatua ili kubaini ukweli wa kanda ya video inayoonyesha mateka wa taifa hilo David Haines akikatwa kichwa.

 

10 years ago

GPL

MWANDISHI WA MAREKANI AKATWA KICHWA

Mwandishi wa habari wa Marekani aliyekatwa kichwa, James Wright Foley (kushoto), akiwa amevishwa kanzu maalum. Kabla ya kuuawa kwake, Foley, aliwataka marafiki, wanafamilia wake na wapenzi wake wote kupambana na “wauaji wangu wa kweli” ambao ni serikali ya Marekani.…

 

11 years ago

Mwananchi

Akatwa kichwa mapigano ya wakulima, wafugaji

Mapigano baina ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara yameibuka tena na kusababisha mtu mmoja kuuawa kwa kukatwa kichwa katika Kijiji cha Kondevesi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia muingereza aambukizwa Ebola

Raia mmoja wa Uingereza anayeishi nchini Sierra leone ameambukizwa virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 

9 years ago

Habarileo

Lisu, Muingereza wakubali kuombea uchaguzi

MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili mwenye maskani yake Uingereza, Ifeanyi Kelechi anatarajia kuiwakilisha Uingereza katika Tamasha la kuombea amani Tanzania linalotarajia kufanyika Oktoba 4, kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Muingereza mwenye Ebola arejeshwa kwao

Muingereza aliyekuwa katika huduma za utibabu nchini Sierra Laone apata ebola na atarajiwa kutibiwa kwao

 

10 years ago

BBCSwahili

Muingereza aliyepona Ebola kurejea Afrika

Mwanaume wa kwanza Muingereza kuambukizwa Ebola, akiwa Afrika anatarajiwa kurejea Afrika ambako aliambukizwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mateka Muingereza aachiliwa huru Libya

Mwalimu mmoja raia wa Uingereza ambaye alitekwa nyara nchini Libya mwezi Mei mwaka huu ameachiliwa huru.

 

10 years ago

GPL

Muingereza wa Simba kuanza kazi leo

KOCHA mpya wa Simba, Mwingereza, Dylan Kerr. Hans Mloli,Dar es Salaam
KOCHA mpya wa Simba, Mwingereza, Dylan Kerr ambaye amesaini mkataba wa mwaka mmoja, tayari amemalizana na uongozi wa timu hiyo katika ishu ya malazi baada ya kukabidhiwa mjengo wa kisasa aliokuwa akiutumia kocha wa zamani wa timu hiyo, Msebia, Goran Kopunovic na leo anaanza kazi. Nyumba hiyo ipo Kunduchi Beach, Dar ambapo hapo awali alianza kuitumia kocha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani