Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mateka mwengine akatwa kichwa na IS

Uingereza inachukua hatua ili kubaini ukweli wa kanda ya video inayoonyesha mateka wa taifa hilo David Haines akikatwa kichwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Muingereza mwengine akatwa kichwa

Kundi la wanamgambo wa kiislamu la Islamic state limetoa ukanda wa video unaoonyesha mateka Alan Henning akikatwa kichwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

IS yamuua mateka mwengine wa Japan

Japan imelishtumu kundi la wanamgambo la Islamic State ambalo limetoa kanda ya video inayoonyesha mauaji ya mateka Kenjo Goto.

 

10 years ago

GPL

MWANDISHI WA MAREKANI AKATWA KICHWA

Mwandishi wa habari wa Marekani aliyekatwa kichwa, James Wright Foley (kushoto), akiwa amevishwa kanzu maalum. Kabla ya kuuawa kwake, Foley, aliwataka marafiki, wanafamilia wake na wapenzi wake wote kupambana na “wauaji wangu wa kweli” ambao ni serikali ya Marekani.…

 

11 years ago

Mwananchi

Akatwa kichwa mapigano ya wakulima, wafugaji

Mapigano baina ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara yameibuka tena na kusababisha mtu mmoja kuuawa kwa kukatwa kichwa katika Kijiji cha Kondevesi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanablogu mwengine auawa Bangladesh

Umati wa watu ulimshambulia mwanablogu huyo na kumkatakata kwa madai kuwa alikuwa akikufuru katika maandishi yake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maliki afaa kumpisha mwengine

Msemaji wa chama tawala cha Iraq asema maoni yanazidi nguvu chamani kuwa waziri mkuu, Nouri al Maliki, afaa kung'atuka

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yauwa daktari mwengine S-Leone

Madaktari 10 sasa wamekufa kutokana na Ebola nchini Sierra Leone peke yake

 

10 years ago

BBCSwahili

Daktari mwengine wa Ebola aaga dunia

Ripoti kutoka Sierra Leone zinasema kuwa daktari mwengine amefariki kutokana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bush mwengine ataka urais Marekani

Aliyekuwa Gavana wa Florida kupitia tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani Jeb Bush anajiandaa kuwania urais

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani