Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raia muingereza aambukizwa Ebola

Raia mmoja wa Uingereza anayeishi nchini Sierra leone ameambukizwa virusi vya ugonjwa wa Ebola.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Daktari aambukizwa Ebola nchini Nigeria

Daktari aliyemtibu mgonjwa wa kwanza kupatikana na Ebola nchini Nigeria ameambukizwa ugonjwa huo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Muingereza mwenye Ebola arejeshwa kwao

Muingereza aliyekuwa katika huduma za utibabu nchini Sierra Laone apata ebola na atarajiwa kutibiwa kwao

 

10 years ago

BBCSwahili

Muingereza aliyepona Ebola kurejea Afrika

Mwanaume wa kwanza Muingereza kuambukizwa Ebola, akiwa Afrika anatarajiwa kurejea Afrika ambako aliambukizwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

USA:Kuwakagua raia wa mataifa ya ebola

Mpango mpya wa ukaguzi umetangazwa nchini Marekani kujaribu kupunguza kuwasili kwa wageni walio na ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Serikali kuwatenga raia Sierra L.

Mshauri wa serikali ya Sierra Leone asema serikali itaanzisha mpango wa siku nne wa kuwatenga raia ili kukabiliana na Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Raia wa S Leone kusalia majumbani

Wakuu nchini Sierra Leone wanajiandaa kuanzisha hatua za siku tatu za kuwazuia watu manyumbani, ili kukabiliana na ebola

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Raia wa Sierra.L waheshimu agizo

Raia wa Sierra Leone wasalia majumbani mwao kwa siku ya pili mfululizo agizo la kutotoka nje la masaa 72 ili kukabiliana na Ebola.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola:Raia wa Liberia wafanya maandamano

Polisi wa kukabiliana na ghasia nchini Liberia wamevunja maandamano dhidi ya vile serikali.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mbunge wa Tanzania aambukizwa

Bunge la Tanzania limethibitisha kwamba mmoja wa wabunge wake ameambukizwa virusi vya corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani