Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USA:Kuwakagua raia wa mataifa ya ebola

Mpango mpya wa ukaguzi umetangazwa nchini Marekani kujaribu kupunguza kuwasili kwa wageni walio na ugonjwa wa Ebola.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Raia waandamana dhidi ya Umoja wa Mataifa-Juba

Raia wa Sudan Kusini wameandamana mjini Juba dhidi ya Umoja wa Mataifa wakiishutumu kwa kuwapa waasi silaha

 

10 years ago

BBCSwahili

USA:Mgonjwa wa kwanza wa Ebola afariki

Mtu wa kwanza kupatikana na ugonjwa wa Ebola nchini Marekani amefariki ,kulingana na maafisa wa hospitali ya Texas

 

10 years ago

BBCSwahili

USA:Yaunga mkono ukaguzi wa Ebola

Maafisa wa usalama jijini Washington wanasema kuwa ukaguzi wa ebola uendelee katika viwanja vya ndege Magharibi mwa Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Ahadi za mataifa hazijatimizwa

Shirika la MSF linasema kuwa ahadi za mataifa kutoa msaada na kupeleka wahudumu kupambana na Ebola havijakuwa na mafanikio

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Annan akosoa mataifa ya Magharibi

Katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amekosoa ambavyo mataifa ya magharibi yameshughulikia janga la Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Banki Moon ayatembelea mataifa ya ebola

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon yuko Afrika magharibi kuzitembelea nchi zilizoathirika na ugonjwa wa ebola.

 

10 years ago

Vijimambo

UMOJA WA MATAIFA KUJADILI MLIPUKO WA EBOLA

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  Ban ki  Moon akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) siku ya jumanne ambapo alitumia fursa hiyo kuainisha masuala mbalimbali yatakayopewa kipaumbele wakati wa  Mkutano wa 69 wa  Baraza  Kuu la Umoja wa Mataifa  unaoanza wiki ijayo  hapa  Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa,  jijini New York, Marekani.  Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola ni  moja ya  suala litakalopewa kipaumbele cha pekee wakati wa mkutano huo utakaohudhuriwa na  wa viongozi  zaidi ya 140...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marais wa mataifa ya Ebola waomba msaada

Marais wa Liberia ,Sierra Leone na Guinea,mataifa matatu yalioathirika vibaya na Ebola wanataka msaada zaidi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Umoja wa Mataifa waonya hatari ya Ebola

Umoja wa Mataifa umesema ugonjwa wa Ebola bado unaweza kuendelea kusambaa duniani kote iwapo hautadhibitiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani