USA:Yaunga mkono ukaguzi wa Ebola
Maafisa wa usalama jijini Washington wanasema kuwa ukaguzi wa ebola uendelee katika viwanja vya ndege Magharibi mwa Afrika.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Vodacom yaunga mkono mwanamke
KAMPUNI ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom, imeahidi kuendelea kuunga mkono jitihada za kumkomboa mwanamke nchini. Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mke wa Rais, Mama Salma...
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Serikali yaunga mkono jitihada za wadau wa Michezo
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda (Katikati) akiongea na Wanahabari (Hawapo pichani) kuhusu makocha wa Timu ya Barcelona kutoka nchini Hispania ambao wako nchini kwa ajili ya mafunzo ya makocha yatakayofanyika kwa muda wa siku mbili, wa kwanza kulia ni Balozi wa Spain nchini Mh. Luis Manuel Ceuesta Civis, mafunzo hayo yanatolewa kwa ushirikiano na Kiwanda cha Bia cha Tanzania Breweries.
Na Genofeva...
5 years ago
MichuziNBC YAUNGA MKONO SEKTA YA KILIMO MKOANI LINDI
Mazao hayo mawili ni kati ya mazao makubwa ya kibiashara yanayofanyika katika nchi yetu na nje ya nchi ya Tanzania.
Kongamano hilo lilikusanya wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka nyanja mbali na kwa pamoja walipata kufahamu fursa zinazotolewa na benki hiyo kwa wanachama wa Biashara Club.
Akizungumza na...
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA DMV YAUNGA MKONO MRADI WA MALARIA WA JENGA
Foundation ya JENGA yapokelewa na Jumuiya ya Washington, DC kwa mwamko mzuri wa lengo la kujishirikisha kusaidia nyumbani Tanzania katika masuala ya malaria. Mradi ambao ulielezewa na Mkurugenzi wa JENGA Bwn. Nassoro Bassalama kwa kina. Pia Mgen rasmi Balozi wa African Union Bi Amina S. Ali, alihamasishwa na JENGA juu ya mradi wa malaria na kuwasihi watanzania...
10 years ago
GPLMASHIRIKISHO YA SANAA TANZANIA YAUNGA MKONO SIKU YA MSANII
10 years ago
Dewji Blog29 Sep
Apollo yaunga mkono vita dhidi ya magonjwa ya moyo
Magonjwa ya moyo ni miongoni ya magonjwa duniani yanayosababisha vifo vya watu milioni 17.3 kulingana na takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO). Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa tarehe 29 Septemba kila mwaka kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu magonjwa ya moyo ikiwa na kauli mbiu kadha wa kadha kila mwaka. Ikiwa ni idadi kubwa ya wagonjwa wa moyo Tanzania wanaosasifiri kwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibabu, Hospitali ya Apollo ya India ilifanya jitihada za kina kuanzisha hospitali ya...
5 years ago
MichuziAbsa Tanzania yaunga mkono juhudi za serikali mapambano dhidi ya Covid-19
9 years ago
StarTV30 Nov
CWT Iringa yaunga mkono juhudi za Rais Magufuli kupambana na ubadhirifu
CHAMA cha walimu Tanzania CWT tawi la Iringa kimesema jitihada zinazofanywa na uongozi wa awamu ya tano ya rais Dr.John Pombe Magufuli zinapaswa kuungwa mkono na watanzania wote wenye fikra pevu na nia njema ya maendeleo ya Taifa.
Zuio la posho kwa watumishi wa serikali, matumizi holela ya fedha za umma pamoja na kutafuta njia mbadala ya namna ya kusherekea siku ya Uhuru na maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani, ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa na tija kwa jamii badala ya manufaa ya...
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA QWIHAYA YAUNGA MKONO SERIKALI VIFAA KINGA VYA CORONA STENDI YA MAFINGA
Kipima joto kilichotolewa na Kampuni ya Qwihaya General Enterprises Co Ltd kimesababisha wananchi wanaofanya kazi stendi ya Mafinga wilayani Mufindi kusimamisha shughuli zao kwa muda ili wapime joto la miili yao.
Wananchi hao wakiwepo wapiga debe na wafanyabiashara ndogo ndogo walimteua mwenzao, akajifunza kukitumia na baadae walipanga foleni ili kila mmoja apime kujua joto la mwili wake.
Kifaa hicho, matenki mawili ya kuhifadhia maji na vitakasa mikono ni miongoni mwa...