Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CWT Iringa yaunga mkono juhudi za Rais Magufuli kupambana na ubadhirifu

CHAMA cha walimu Tanzania CWT tawi la Iringa kimesema jitihada zinazofanywa na uongozi wa awamu ya tano ya rais Dr.John Pombe Magufuli  zinapaswa kuungwa mkono na watanzania wote wenye fikra pevu na nia njema ya maendeleo ya Taifa.

Zuio la posho kwa watumishi wa serikali, matumizi holela ya fedha za umma pamoja na kutafuta njia mbadala ya namna ya kusherekea siku ya Uhuru na maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani, ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa na tija  kwa jamii badala ya manufaa ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Absa Tanzania yaunga mkono juhudi za serikali mapambano dhidi ya Covid-19

Waziri wa Afya, Maendeleo ya. Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, (katikati), akimshukuru Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utumishi wa Benki ya AbsaTanzania, Patrick Foya (kushoto), baada yakupokea msaada wa vifaa tiba kwa ajili ya kuisaidia serikali katika kupambana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayotokana na virusi vya Corona (Covid-19). kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mabula Daudi Mchembe. Vifaa hivyo vikiwemo barakoa,...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM inaunga mkono juhudi za Rais Magufuli -Kinana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema chama kinaunga mkono utendaji kazi wa Rais John Magufuli, ikiwamo kuhakikisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zinasimamia ipasavyo ulipaji wa kodi.

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA NURU FM 93.5 IRINGA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA IRINGA KUMUUNGA MKONO RAIS DKT.MAGUFULI

Fredy mgunda ambaye ni chief repoter wa radio nuru fm.shauri mkwawa a.k.a mama la mama na wafanyakazi wenzake wakifanya usafi.Wakizungumza wakati wakiwa wanafanya usafi katika eneo hilo wamesema kuwa wameamua kufanya usafi katika hospital hiyo kwa kuwa ndio hospitali inayohudumia wananchi wengi kuliko hospitali nyingine zilizopo mkoani hapa.Denis nyali ni mhariri wa habari wa radio hiyo amesema kuwa wameamua kufanya usafi kwa lengo la kuwaonyesha wananchi na wafanyakazi wa hospital hiyo kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Mwakyembe Apongeza Wazalendo Wanaounga Mkono Juhudi za Rais Magufuli


Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na Bw. Mussa Issa (kushoto) meneja wa Mtoto Romeo Asubisye (mwenye suti ya kijani) aliyekuja kumtambulisha mtoto huyo baada ya kutwaa medali takriban 09,katika mashindano mbalimbali ya kuogelea ikwemo Cana Zone Three Africa yaliyofanyika mwaka 2019 nchini KenyaWaziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja  na Bw. Mussa Issa...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI CWT SINGIDA AJIUZULU, ATOA KAULI NZITO, AWAOMBA WALIMU KUMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Singida, Aran Jumbe akizungumza mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho ngazi ya mkoa muda mfupi kabla ya kujiuzulu nafasi yake.
Mwenyekiti mpya wa chama hicho Mkoa wa Singida, Hamis Mtundua akizungumza baada ya kuchaguliwa.
Mtundua akijaza fomu maalamu ya uongozi. Kushoto ni Afisa Kazi Mkoa wa Singida, Boniface Ntalula.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CWT ngazi ya mkoa wakifuatilia uchaguzi huo.
Mwenyekiti mpya wa Kitengo cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Iringa nao sasa waunga mkono CWT

Chama cha Walimu mkoani hapa kimetishia kupiga kambi katika ofisi za halmashauriza manispaa na wilaya zote kwa lengo la kushinikiza kulipwa madeni yao.

 

5 years ago

Michuzi

HUAWEI YATOA MCHANGO KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI ZA KUPAMBANA NA UGONJWA WA KORONA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea mchango wa  vifaa vya kuendeshea mikutano kwa njia ya video ambavyo ni cloudlink camera tatu, Cloudlink Mic tatu, Cloudlink TV terminal tatu, Cloudlink Platform pamoja na Thermal Imaging Temperature Measuring System sita vyote vikiwa na thamani ya sh. milioni 940 Kutoka kampuni ya TEHAMA ya HUAWEI,kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za kupambana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu - COVID-19. Pichani, Waziri Mkuu akiwa katika picha ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAMILIKI WA MAGARI YA MASAFA MAREFU ARUSHA WAUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA


Na Woinde Shizza,Arusha

CHAMA cha Wamiliki wa magari ya masafa marefu  Mkoa wa Arusha ,TABOA,Hakiboa pamoja na wasafirishaji wenza  wameiunga mkono serikali katika swala la kupiga vita ugonjwa wa Corona pamoja na kutoa elimu ya kuchukuwa taadhari kuhusu ugonjwa huo.

Ambapo wameamua kunua dawa ,mabomba ya kunyunyuzia dawa ,dawa za kunaiya mikono na ndoo 100 za kuwia mikono huku wakizindua rasmi mchakato wa  upigaji dawa kwa vyombo vyote vya usafirishaji  vilivyopo mkoani hapa.

Akizungumza wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani