Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAMILIKI WA MAGARI YA MASAFA MAREFU ARUSHA WAUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA


Na Woinde Shizza,Arusha

CHAMA cha Wamiliki wa magari ya masafa marefu  Mkoa wa Arusha ,TABOA,Hakiboa pamoja na wasafirishaji wenza  wameiunga mkono serikali katika swala la kupiga vita ugonjwa wa Corona pamoja na kutoa elimu ya kuchukuwa taadhari kuhusu ugonjwa huo.

Ambapo wameamua kunua dawa ,mabomba ya kunyunyuzia dawa ,dawa za kunaiya mikono na ndoo 100 za kuwia mikono huku wakizindua rasmi mchakato wa  upigaji dawa kwa vyombo vyote vya usafirishaji  vilivyopo mkoani hapa.

Akizungumza wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BALOZI WA PAKISTAN AIPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA KWA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA

Na WAMJW – Dar es Salaam
 Serikali imepongezwa kwa jitihada inazozifanya katika kukabiliana na ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) hapa nchini.

Pongezi hizo zimetolewa leo jijini Dar es Salaam na mwakilishi wa Ubalozi wa Pakistani hapa nchini Muhammad Saleem wakati akikabidhi vifaa vya kujikinga na ugonjwa huo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Saleem alisema tangu ugonjwa huo ulipoingia hapa nchini mwezi uliopita kasi ya maambukizi ni ndogo...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA GGML YATOA SHILINGI BILIONI 1.6 KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

 Baadhi ya wananchi wanaozunguka mgodi wa kampuni hiyo wakinawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, vifaa hivyo vimetolewa na GGML kudhibiti maambukizi ya Corona katika mji wa Geita Mkurugenzi Mkuu wa GGML, Richard Jordinson akifafanua jambo
KAMPUNI  ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa Shilingi bilioni 1.6 kuunga mkono juhudi za Serikali katika kudhibiti maambukizi ya Virusi vya Corona ambayo hadi sasa yamesambaa katika nchi 210 duniani Tanzania ikiwemo.

Pia GGML imezindua mikakati...

 

5 years ago

Michuzi

WADAU WA MAENDELEO ARUSHA WAUNGA MKONO JUHUDI ZA SRIKALI MAPAMBANO DHIDI YA COVID-19 KWA KUTOA MISAADA


Na Woinde Shizza,ARUSHA

WADAU wa Maendeleo Mkoa wa Arusha wameunga mkono juhudi za Serikali dhidi ya mapambano ya ugonjwa hatari wa Covid-19 kwa kutoka misaada mbalimbali kama njia mojawapo ya kukabiliana maambukizo ya virusi vya Corona.

Misaada hiyo imetolewa na kampuni ya vinywaji vikali ya Mega Beverage ya jijini hapa kuwa ambapo imetoa lita 2500 za vitakasa mikono pamoja na madumu 50 ya kunawia maji yanayotiririka vyenye thamani ya sh,milioni 46.

Wadau wengine waliojitokeza kuchangia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je msaada wa Jack Ma Afrika una umuhimu gani katika kupambana na janga la corona?

Huku mlipuko wa virusi vya corona ukiendelea kuathiri sekta zote duniani mataifa mengi yameshindwa kupata jibu la kukabiliana na janga hilo.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI UINGEREZA KUFAFANUA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KUPAMBANA NA UJANGILI

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kushoto) akihojiwa na Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha CCTV Zhang He jijini London ambapo alipata nafasi ya kuzungumzia juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali katika Vita Dhidi ya Ujangili nchini na Changamoto zinazohitaji kuungwa mkono na Jumuiya ya Kimataifa.

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akipongezwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Wanyamapori Paul Sarakikya mara baada ya...

 

5 years ago

Michuzi

HUAWEI YATOA MCHANGO KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI ZA KUPAMBANA NA UGONJWA WA KORONA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea mchango wa  vifaa vya kuendeshea mikutano kwa njia ya video ambavyo ni cloudlink camera tatu, Cloudlink Mic tatu, Cloudlink TV terminal tatu, Cloudlink Platform pamoja na Thermal Imaging Temperature Measuring System sita vyote vikiwa na thamani ya sh. milioni 940 Kutoka kampuni ya TEHAMA ya HUAWEI,kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za kupambana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu - COVID-19. Pichani, Waziri Mkuu akiwa katika picha ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Uruwa waunga mkono juhudi za Dk Magufuli

Umoja wa Rufaa ya Wananchi (Uruwa) unaoundwa na vyama visivyopata ruzuku ya Serikali, wamepongeza utendaji kazi wa Serikali ya Awamu ya Tano.     

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE JUMAA AUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUTOA MSAADA KUJIKINGA NA CORONA


Na Mwamvua Mwinyi Kibaha KATIKA jitihada za kuunga mkono Serikali katika vita dhidi ya homa ya Corona Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini ,Hamoud Jumaa amekabidhi ndoo 100 za kuwawia mikono pamoja na sabuni,vyenye thamani ya milioni mbili ili kujikinga na Corona.
Ndoo hizo pamoja na sabuni zimekabidhiwa katika Kituo cha Afya cha Mlandizi ili zisambazwe kwenye vituo vya Afya, Zahanati zote ,kwa wafanya biashara sokoni pamoja Standi ili kupambana na homa ya Corona.
Jumaa aliwataka wananchi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani