Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WA MAENDELEO ARUSHA WAUNGA MKONO JUHUDI ZA SRIKALI MAPAMBANO DHIDI YA COVID-19 KWA KUTOA MISAADA


Na Woinde Shizza,ARUSHA

WADAU wa Maendeleo Mkoa wa Arusha wameunga mkono juhudi za Serikali dhidi ya mapambano ya ugonjwa hatari wa Covid-19 kwa kutoka misaada mbalimbali kama njia mojawapo ya kukabiliana maambukizo ya virusi vya Corona.

Misaada hiyo imetolewa na kampuni ya vinywaji vikali ya Mega Beverage ya jijini hapa kuwa ambapo imetoa lita 2500 za vitakasa mikono pamoja na madumu 50 ya kunawia maji yanayotiririka vyenye thamani ya sh,milioni 46.

Wadau wengine waliojitokeza kuchangia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Absa Tanzania yaunga mkono juhudi za serikali mapambano dhidi ya Covid-19

Waziri wa Afya, Maendeleo ya. Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, (katikati), akimshukuru Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utumishi wa Benki ya AbsaTanzania, Patrick Foya (kushoto), baada yakupokea msaada wa vifaa tiba kwa ajili ya kuisaidia serikali katika kupambana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayotokana na virusi vya Corona (Covid-19). kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mabula Daudi Mchembe. Vifaa hivyo vikiwemo barakoa,...

 

5 years ago

Michuzi

Wadau wa maendeleo Njombe wafika vijijini kutoa elimu dhidi ya Covid-19

Na Amiri kilagalila, NjombeKUTOKANA  na elimu ya namna ya kujikinga na ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayotokana na virusi vya Corona (COVID-19) kutowafikia vyema wananchi waishio maeneo ya vijijini wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani Njombe wameanza zoezi la kwenda kutoa elimu kwa wananchi juu ya kujikinga na ugonjwa huo.
Miongoni mwa wadau hao ni Johson Mgimba na Lawi Mnyanga ambao wamefika katika kata ya Madilu wilayani Ludewa mkoani Njombe na kutoa elimu kwa wananchi mbalimbali kupitia...

 

5 years ago

Michuzi

WAMILIKI WA MAGARI YA MASAFA MAREFU ARUSHA WAUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA


Na Woinde Shizza,Arusha

CHAMA cha Wamiliki wa magari ya masafa marefu  Mkoa wa Arusha ,TABOA,Hakiboa pamoja na wasafirishaji wenza  wameiunga mkono serikali katika swala la kupiga vita ugonjwa wa Corona pamoja na kutoa elimu ya kuchukuwa taadhari kuhusu ugonjwa huo.

Ambapo wameamua kunua dawa ,mabomba ya kunyunyuzia dawa ,dawa za kunaiya mikono na ndoo 100 za kuwia mikono huku wakizindua rasmi mchakato wa  upigaji dawa kwa vyombo vyote vya usafirishaji  vilivyopo mkoani hapa.

Akizungumza wakati...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA GGML YATOA SHILINGI BILIONI 1.6 KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

 Baadhi ya wananchi wanaozunguka mgodi wa kampuni hiyo wakinawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, vifaa hivyo vimetolewa na GGML kudhibiti maambukizi ya Corona katika mji wa Geita Mkurugenzi Mkuu wa GGML, Richard Jordinson akifafanua jambo
KAMPUNI  ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa Shilingi bilioni 1.6 kuunga mkono juhudi za Serikali katika kudhibiti maambukizi ya Virusi vya Corona ambayo hadi sasa yamesambaa katika nchi 210 duniani Tanzania ikiwemo.

Pia GGML imezindua mikakati...

 

5 years ago

Michuzi

RC.GAMBO,WADAU SHIRIKIANENI NA SERIKALI MAPAMBANO DHIDI COVID 19


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akipokea Vitakasa mikono lita 2500 pamoja na Ndoo 50 kutoka kwa meneja wa kampuni ya Mega beverages Christopher Ndossi leo jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega akitoa taarifa ya mapambano ya ugonjwa wa Covid 19 kwa mkoa wa Arusha kwa wadau kutoka kampuni za Hanspoul Ltd,Simba Truck na Mega Beverages Mara baada ya kukabidhiwa vifaa na fedha milioni 29 kutoka kwa wadau hao ikiwa ni sehemu yamsaada...

 

9 years ago

Mwananchi

Uruwa waunga mkono juhudi za Dk Magufuli

Umoja wa Rufaa ya Wananchi (Uruwa) unaoundwa na vyama visivyopata ruzuku ya Serikali, wamepongeza utendaji kazi wa Serikali ya Awamu ya Tano.     

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA APOKEA MISAADA KWA AJILI YA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya  sh. 4, 000,000,000/= kutoka kwa Meneja Mkazi  (Country Manager) wa Kampuni ya Madini ya Barric - Twiga Minerals, Hilaire Diarra (kushoto) na Msaidizi wake, Neema Ndossi (kulia)  ukiwa ni mchango wa Kampuni hiyo kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2020. Wa pili kushoto...

 

5 years ago

Michuzi

Airtel Tanzania yachangia sh. 700 milioni kwa wafanyakazi wa sekta ya afya dhidi ya mapambano ya COVID-19

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati) alipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Airtel Tanzania, Gabriel Malata
(kushoto) mfano wa hundi ya shilingi milioni saba (TZS 700,000,000) ukiwa ni mchango wa Airtel Tanzania kuunga mkono serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye mapambano dhidi ya virusi vya covid-19 (corona). Mchango uliotolewa na Airtel utatumika kununua vifaa kinga vitakavyosambazwa nchi nzima ili vitumike na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani