Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lisu, Muingereza wakubali kuombea uchaguzi

MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili mwenye maskani yake Uingereza, Ifeanyi Kelechi anatarajia kuiwakilisha Uingereza katika Tamasha la kuombea amani Tanzania linalotarajia kufanyika Oktoba 4, kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mikoa 10 kuombea uchaguzi Mkuu

MIKOA 10 ya Tanzania bara, Inatarajia kuombea amani na utulivu katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu hapa nchini.Kwa mujibu  wa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama mikoa hiyo itaiombea amani Tanzania kupitia muziki wa Injili kupitia waimbaji mbalimbali  wa ndani na nje ya nchi.
Msama alisema awali kabla ya mikoa hiyo kuombea amani uchaguzi Mkuu, Tamasha la kwanza lenye dhamira hiyo litafanyika Oktoba 4 jijini Dar es Salaam.
“Tumeona kuna umuhimu...

 

9 years ago

Habarileo

Mufti, mahujaji kuombea uchaguzi mkuu

MUFTI wa Tanzania, Shehe Abubakary Zuberi Ally amesema ataongoza mahujaji wa Tanzania, kuombea uchaguzi mkuu nchini uwe wa amani, atakapofika kwenye mji mtakatifu wa Makka. Mufti alisema hayo kabla ya kwenda kuhiji Makka.

 

9 years ago

Habarileo

Waswali kuombea dua uchaguzi mkuu

IKIWA leo ni siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, wabunge, wawakilishi na madiwani, wananchi wa mikoa miwili ya Pemba, Kusini na Kaskazini wameswali pamoja kuombea dua uchaguzi mkuu unaofanyika leo uwe wa amani.

 

9 years ago

Michuzi

Kwaya tatu kuombea amani uchaguzi Mkuu

KWAYA tatu za muziki wa Injili Tanzania zinatarajia kuwa mojawapo ya wadau watakaoiombea amani Tanzania kuelekea uchaguzi Mkuu kupitia Tamasha la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama pamoja na kwaya hizo maombi hayo ya amani yatashirikisha waimbaji wengine wa Tanzania na nje.Msama alizitaja kwaya hizo ni pamoja na Kwaya ya Uinjilisti ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam, Kwaya ya Mtakatifu Andrew Anglican ya Dodoma...

 

9 years ago

StarTV

Ibada ya kuombea uchaguzi yafanyika mkoani Iringa

Viongozi wa Juu wa Mkoa wa Iringa wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Amina Masenza wameshiriki Ibada maalum ya kuombea Taifa amani kabla na baada ya uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

Ibada hiyo maalum imefanyika Jumamosi hii mjini Iringa katika Kanisa Kuu la Sloam njia ya Kusini na kuhudhuriwa na mamia ya waumini wa Kanisa hilo.

Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa walinyanyua bendera na ramani ya Taifa wakati wa...

 

10 years ago

Habarileo

Maalim ataka wazee kuombea amani uchaguzi mkuu

MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wazee wa jimbo la Mtambwe Daya Pemba kuliombea dua taifa wakati likielekea katika uchaguzi mkuu ili kuwepo na amani na utulivu wa kutosha.

 

9 years ago

GPL

DC MAKONDA AONGOZA MATEMBEZI YA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akihutubia wananchi baada ya kupokea matembezi ya amani ya vyama vya siasa yaliyofanyika kuanzia eneo la Magomeni hadi viwanja vya Kinondoni Biafra Dar es Salaam leo asubuhi. Mwenyekiti wa Wilaya ya Chama cha Union For Multi Party Democratic (UMD), Abdallah Tumbo akihutubia katika mkutano huo. Katibu wa Wilaya ya Kinondoni wa Chama cha UDP, Makoye Ikoles, akizungumza… ...

 

9 years ago

Vijimambo

SARAH K KUPAMBA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI UCHAGUZI MKUU TANZANIA

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la kuombea Amani Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 Alex Msama akifafanua jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania, Askofu David Mwasota.(Picha na Francis Dande)Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania, Askofu David Mwasota akifafanua jambo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Amani, Alex Msama akifafanua...

 

9 years ago

Michuzi

UPENDO NKONE ACHOMOZA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU

indexG MUIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea amani katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Nkone ni muimbaji wa kwanza wa Tanzania kukubali kushiriki katika tamasha la hilo la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4.Msama alisema  wanaendelea na mchakato wa kuzungumza na waimbaji wengine ili kuwa na idadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani