UPENDO NKONE ACHOMOZA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU
MUIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea amani katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Nkone ni muimbaji wa kwanza wa Tanzania kukubali kushiriki katika tamasha la hilo la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4.Msama alisema wanaendelea na mchakato wa kuzungumza na waimbaji wengine ili kuwa na idadi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo29 Aug
Upendo Nkone kuombea amani
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-MxEFJ5Gx6vE/VhG5DZo2a0I/AAAAAAAAaUE/S2Hwd0NkhHE/s72-c/IMG_1376.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE KATIKA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-MxEFJ5Gx6vE/VhG5DZo2a0I/AAAAAAAAaUE/S2Hwd0NkhHE/s640/IMG_1376.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-XihnY3QTE9E/VhG5EVENg2I/AAAAAAAAaUM/gLPRK_J_Uzs/s640/IMG_1380.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ikdgUw4yU9E/VhG5IcrRmiI/AAAAAAAAaUU/bl1Myno4scU/s640/IMG_1385.jpg)
9 years ago
VijimamboSARAH K KUPAMBA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI UCHAGUZI MKUU TANZANIA
9 years ago
MichuziTAMASHA LA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4 MWAKA HUU.
9 years ago
MichuziMSAMA PROMOSHENI KUANDAA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI HAPA NCHINI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
9 years ago
GPLUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA, DAR
9 years ago
Dewji Blog30 Aug
Uzinduzi wa Tamasha la kuombea Amani Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa Jijini Dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha...
9 years ago
VijimamboUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Yya6RYgSo0A/VfMDDhalPjI/AAAAAAAC-5g/ge_Ym4rs7vg/s72-c/Alex-Msama-640x458.jpg)
Kwaya tatu kuombea amani uchaguzi Mkuu
![](http://1.bp.blogspot.com/-Yya6RYgSo0A/VfMDDhalPjI/AAAAAAAC-5g/ge_Ym4rs7vg/s320/Alex-Msama-640x458.jpg)
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama pamoja na kwaya hizo maombi hayo ya amani yatashirikisha waimbaji wengine wa Tanzania na nje.Msama alizitaja kwaya hizo ni pamoja na Kwaya ya Uinjilisti ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam, Kwaya ya Mtakatifu Andrew Anglican ya Dodoma...