Mikoa 10 kuombea uchaguzi Mkuu
![](http://4.bp.blogspot.com/-Mocy9B2VUhg/VdWBWWKjJYI/AAAAAAAC9wI/a72y0CQQOBw/s72-c/_MG_5123.jpg)
MIKOA 10 ya Tanzania bara, Inatarajia kuombea amani na utulivu katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu hapa nchini.Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama mikoa hiyo itaiombea amani Tanzania kupitia muziki wa Injili kupitia waimbaji mbalimbali wa ndani na nje ya nchi.
Msama alisema awali kabla ya mikoa hiyo kuombea amani uchaguzi Mkuu, Tamasha la kwanza lenye dhamira hiyo litafanyika Oktoba 4 jijini Dar es Salaam.
“Tumeona kuna umuhimu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo17 Sep
Mufti, mahujaji kuombea uchaguzi mkuu
MUFTI wa Tanzania, Shehe Abubakary Zuberi Ally amesema ataongoza mahujaji wa Tanzania, kuombea uchaguzi mkuu nchini uwe wa amani, atakapofika kwenye mji mtakatifu wa Makka. Mufti alisema hayo kabla ya kwenda kuhiji Makka.
9 years ago
Habarileo25 Oct
Waswali kuombea dua uchaguzi mkuu
IKIWA leo ni siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, wabunge, wawakilishi na madiwani, wananchi wa mikoa miwili ya Pemba, Kusini na Kaskazini wameswali pamoja kuombea dua uchaguzi mkuu unaofanyika leo uwe wa amani.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Yya6RYgSo0A/VfMDDhalPjI/AAAAAAAC-5g/ge_Ym4rs7vg/s72-c/Alex-Msama-640x458.jpg)
Kwaya tatu kuombea amani uchaguzi Mkuu
![](http://1.bp.blogspot.com/-Yya6RYgSo0A/VfMDDhalPjI/AAAAAAAC-5g/ge_Ym4rs7vg/s320/Alex-Msama-640x458.jpg)
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama pamoja na kwaya hizo maombi hayo ya amani yatashirikisha waimbaji wengine wa Tanzania na nje.Msama alizitaja kwaya hizo ni pamoja na Kwaya ya Uinjilisti ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam, Kwaya ya Mtakatifu Andrew Anglican ya Dodoma...
10 years ago
Habarileo10 Jul
Maalim ataka wazee kuombea amani uchaguzi mkuu
MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wazee wa jimbo la Mtambwe Daya Pemba kuliombea dua taifa wakati likielekea katika uchaguzi mkuu ili kuwepo na amani na utulivu wa kutosha.
9 years ago
VijimamboSARAH K KUPAMBA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI UCHAGUZI MKUU TANZANIA
9 years ago
Michuzi28 Aug
UPENDO NKONE ACHOMOZA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU
![indexG](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/indexG.jpg)
9 years ago
MichuziTAMASHA LA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4 MWAKA HUU.
9 years ago
MichuziMSAMA PROMOSHENI KUANDAA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI HAPA NCHINI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-MxEFJ5Gx6vE/VhG5DZo2a0I/AAAAAAAAaUE/S2Hwd0NkhHE/s72-c/IMG_1376.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE KATIKA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-MxEFJ5Gx6vE/VhG5DZo2a0I/AAAAAAAAaUE/S2Hwd0NkhHE/s640/IMG_1376.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-XihnY3QTE9E/VhG5EVENg2I/AAAAAAAAaUM/gLPRK_J_Uzs/s640/IMG_1380.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ikdgUw4yU9E/VhG5IcrRmiI/AAAAAAAAaUU/bl1Myno4scU/s640/IMG_1385.jpg)