MDAU WA VIJIMAMBO AKIWA KIJIJI KWAO MKATAA KWAO MTUMWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-pihtLkzYk90/VhGiZUANexI/AAAAAAAD__0/_ZbZtsc1GXA/s72-c/FullSizeRender_1.jpg)
Ustadh Maftah wa New York akiwa Kilwa aliturushia hii kuonyesha kuwa mkataa kwao ni mtubwa hapa Ustadh Mafutah akiwa na shangazi yake Zureha bint Maftah wakielekea kisiwani kutoka Kilwa masoko Lindi.
Hii ni ramani ya kisiwani, kisiwa hiki ni maarufu sana katika karne ya 9 kilikuwa kina milikiwa na sultan Ali bin Al-Hasan hapa ndipo palikuwa makazi yake katika karne hiyo ya 9 hadi karne ya 15. Alijenga Msikiti mkubwa sana na alifanya kituo kikubwa cha kubairishia watumwa na kuwasafirisha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 May
Kweli mkataa kwao ni mjinga
10 years ago
Bongo Movies03 Apr
Picha: JB Akiwa Nyumbani Kwao kwa Mzee Wake
Leo ikiwa ni siku ya Ijumaa kuu, Staa mkubwa kabisa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ame-share nasi picha hizi akiwa nyumbani kabisa kwa mzee wake.
Katika maelezo yake JB amesema kuwa siku kama ya leo huwa wanautaratibu kama familia kwenda kanisani pamoja.
“Leo niko nyumbani kwa mzee, Ijumaa ya pasaka tuna utaratibu wa kwenda kanisani wote” JB aliandika mara baada ya kubandika picha huyo hap juu akiwa na mzee wake.
Picha huyo nyingine JB alieleza kuwa huyo ni mdogo wao wa mwisho...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJBhAI51g-*Q*FCCg8GIRa4uoep6R-UZ7MN3qBJpBSr6ie4TOx1ecYccQQDyrbfhM4uvJOP65P1gYKxttOHHwH7F/aunt1.jpg?width=650)
SIMULIZI YA AUNT EZEKIEL: ILIKUWA AOLEWE AKIWA MDOGO, AKATOROKA NYUMBANI KWAO!
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aWle64YZjug/XoDrUmruRxI/AAAAAAALlfk/dMCLIccsrzYsGK-U_tOy9W-KN_8DQvt1ACLcBGAsYHQ/s72-c/DSC0895AA-768x529.jpg)
RAIS DK.SHEIN AHUDHURIA MAZIKO YA WAZIRI KIONGOZI MSTAAF RAMADHAN HAJIN FAKI KIJIJI KWAO MKWAJUNI ZANZIBAR
![](https://1.bp.blogspot.com/-aWle64YZjug/XoDrUmruRxI/AAAAAAALlfk/dMCLIccsrzYsGK-U_tOy9W-KN_8DQvt1ACLcBGAsYHQ/s640/DSC0895AA-768x529.jpg)
MAKAMANDA wa JWTZ wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa Marehemu Ramadhani Haji Faki wakiingia katika viwanja vya Masjid Mushawar Muembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kuusala na kuuombea dua
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/DSC0913AA-1024x795.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3OkS5mXcP0s/XkmOK2X6NiI/AAAAAAALdow/t_hV8vCFhrsL9zgnKoNUvHtGr436QAXFQCLcBGAsYHQ/s72-c/d4b3a13b-0ef4-42d2-bac8-28d51650e838.jpg)
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA JAJI WA MAHKAMA KUU ZANZIBAR MKUSA SEPETU ALIYEZIKWA KIJIJI KWAO MBUZINI UNGUJA LEO.
![](https://1.bp.blogspot.com/-3OkS5mXcP0s/XkmOK2X6NiI/AAAAAAALdow/t_hV8vCFhrsL9zgnKoNUvHtGr436QAXFQCLcBGAsYHQ/s640/d4b3a13b-0ef4-42d2-bac8-28d51650e838.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/81c75572-8fa4-417a-9b62-6125c582372f.jpg)
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Ndanda FC yarudi kwao
9 years ago
Habarileo21 Sep
Magufuli aagwa kwao
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amewaaga rasmi wananchi jimboni kwake Chato, mkoani Geita kwa kuwashukuru na kueleza namna alivyofikia uamuzi wa kugombea nafasi hiyo ya juu, huku akisema hata akiwa Rais wa Tanzania, kamwe hatabadilika.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6YlgqimwR2MiRMVirkUzcawz1D-*zURgsAvWBFgUzrhomiK8VU0AyJYh-SG3bIb1P6*8L6-XhBqihEwXH0lczZ3n/Zari.gif?width=650)
ZARI AITWA KWAO
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Yanga yainyuka Prisons kwao