Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli aagwa kwao

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amewaaga rasmi wananchi jimboni kwake Chato, mkoani Geita kwa kuwashukuru na kueleza namna alivyofikia uamuzi wa kugombea nafasi hiyo ya juu, huku akisema hata akiwa Rais wa Tanzania, kamwe hatabadilika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Magufuli amnanga Lissu kwao

Pg 2 mpaka 3*Amwita mtukanaji na mkwamishaji miradi ya maendeleo

*Diana Chilolo amgeuka Lowassa, asema hana washauri

Na Bakari Kimwanga, Ikungi

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, jana aliwasili Jimbo la Singida Mashariki ambalo mwakilishi wake bungeni aliyemaliza muda ni Tundu Lissu (Chadema) na kuwataka wapiga kura wa jimbo hilo kutomchagua tena kwa sababu ana lugha chafu.

Dk. Magufuli, ambaye alifanya mkutano wake wa kwanza Wilaya ya Ikungi mkoani Singida...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampeni za Dk. Magufuli kwao Chato ni zaidi ya Tsunami

Mgombea urais wa Tbanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati wa mkutano wa kampeni za urais, ubunge na udiwani kwenye Uwanja wa Michezo mjini Chato, mkoani Geita, jimbo alilokuwa Mbunge. Pia alitumia fursa hiyo kuwaaga wapiga kura wake.Mkutano huo wa kampeni ulijaza watu kupita kiasi  jambo ambalo wenyeji wa wilaya hiyo pamoja na mgombea amesema haijawahi kutokea.PICHA ZOTE NA RICHARD BMWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Mbuzi huyu aliyechorwa maandishi hayo...

 

9 years ago

Vijimambo

MDAU WA VIJIMAMBO AKIWA KIJIJI KWAO MKATAA KWAO MTUMWA

 Ustadh Maftah  wa New York akiwa Kilwa aliturushia hii kuonyesha kuwa mkataa kwao ni mtubwa hapa Ustadh Mafutah akiwa na shangazi yake Zureha bint Maftah wakielekea kisiwani kutoka Kilwa masoko Lindi.
 Hii ni ramani ya kisiwani, kisiwa hiki ni maarufu sana katika karne ya 9 kilikuwa kina milikiwa na sultan Ali bin Al-Hasan hapa ndipo palikuwa makazi yake katika karne hiyo ya 9 hadi karne ya 15.  Alijenga Msikiti mkubwa sana na alifanya kituo kikubwa cha kubairishia watumwa na kuwasafirisha...

 

9 years ago

Habarileo

Kombani aagwa Dar

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal jana aliongoza mamia ya Watanzania waliojitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani.

 

9 years ago

Mwananchi

Askari aliyeuawa aagwa na jeshi

Mwili wa Konstebo Simon Matiku, askari aliyeuawa kwa kupigwa risasi na mwenzake uliagwa jana kwenye viwanja vya kambi ya jeshi hilo iliyopo Mabatini.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtawa aagwa, dereva asimulia

>Mark Mwarabu, dereva aliyekuwa akimwendesha sista wa Kanisa Katoliki, Crecensia  Kapuri aliyeuawa na majambazi wa Kanisa Katoliki, amesema mbinu za kijeshi zilimwokoa katika tukio hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aagwa kifalme Uholanzi

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete jana aliagwa kifalme katika ziara yake ya kikazi nchini Uholanzi, huku akielezea kwa kiasi kikubwa mafanikio ya utawala wake katika miaka kumi aliyokaa madarakani.

 

11 years ago

Habarileo

IGP wa zamani aagwa rasmi

MKUU wa Jeshi la Polisi mstaafu (IGP), Said Mwema ameagwa rasmi jana jijini Dar es Salaam, huku akiwataka wananchi kumpa ushirikiano Mkuu mpya wa Polisi, Ernest Mangu katika kukabiliana na uhalifu mpya.

 

10 years ago

Vijimambo

MUASISI WA TANU AAGWA MONDULI

Waziri mkuu wa zamani mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na mkewe mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mzee Lazaro ole Ngoilenya Laizer aliyefariki juzi na kuzikwa leo Alhamis kijijini kwake Ngarash Monduli.Mzee Ole Ngoilenya ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 120 alikuwa muasisi na kiongozi wa kwanza wa Chama Cha TAA na baadaye TANU wilayani Monduli wakati huo ikijulikana kama Maasai District.Pia ndiye alikuwa chachu kwa Mh Lowassa na wanasiasa wengine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani