Kampeni za Dk. Magufuli kwao Chato ni zaidi ya Tsunami
Mgombea urais wa Tbanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati wa mkutano wa kampeni za urais, ubunge na udiwani kwenye Uwanja wa Michezo mjini Chato, mkoani Geita, jimbo alilokuwa Mbunge. Pia alitumia fursa hiyo kuwaaga wapiga kura wake.Mkutano huo wa kampeni ulijaza watu kupita kiasi jambo ambalo wenyeji wa wilaya hiyo pamoja na mgombea amesema haijawahi kutokea.PICHA ZOTE NA RICHARD BMWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mbuzi huyu aliyechorwa maandishi hayo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Magufuli ataka kampeni za kisayansi kupata ushindi wa tsunami
10 years ago
Michuzi
CHATO YAZIZIMA WAKATI MAELFU WAKIHUDHURIA MKUTANO WA KAMPENI WA DKT. MAGUFULI LEO



10 years ago
Habarileo11 Aug
Magufuli: Subirini ushindi wa tsunami
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, amewahakikishia wana-CCM na Watanzaia kwa ujumla kuwa mwaka huu, chama kitapata ushindi wa Tsunami na si wa kishindo wala kimbunga.
10 years ago
Habarileo24 Sep
Magufuli atamba kushinda kwa ‘tsunami’
SIKU moja baada ya matokeo ya utafiti wa taasisi huru ya Twaweza kuonesha kuwa anapaa katika urais, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ametamba kupata ushindi wa ‘tsunami’.
10 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO, AAHIDI MAJENGO YA KAMBI YA MKANDARASI KUWA MALI YA SHULE YA MAGUFULI
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
AllAfrica.Com16 Jul
Chato Residents Salute Magufuli
IPPmedia
AllAfrica.com
Chato — Chato residents are warmly waiting for the arrival of their Member of Parliament, Dr John Magufuli, as legislators from the opposition parties vow to vote for him as the country's fifth president come October 25, this year. A random survey by ...
Tanzania's ruling party picks presidential candidate. Picture: AFPThe New Age Online
10 Things About Tanzania's Ruling Party Presidential Nominee John MagufuliAFKInsider
Development advocacy...
5 years ago
CCM Blog
RAIS MAGUFULI AWASILI CHATO




10 years ago
GPLMAGUFULI AFUNIKA CHATO LEO