Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli ataka kampeni za kisayansi kupata ushindi wa tsunami

Waziri wa Ujenzi na mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema kuwa wana-CCM mwaka huu wanapaswa kufanya kampeni za kisayansi zaidi kuhakikisha wanapata ushindi wa tsunami utakaowezesha kuundwa kwa Serikali imara itakayowaletea maendeleo Watanzania wote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Magufuli: Subirini ushindi wa tsunami

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, amewahakikishia wana-CCM na Watanzaia kwa ujumla kuwa mwaka huu, chama kitapata ushindi wa Tsunami na si wa kishindo wala kimbunga.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampeni za Dk. Magufuli kwao Chato ni zaidi ya Tsunami

Mgombea urais wa Tbanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati wa mkutano wa kampeni za urais, ubunge na udiwani kwenye Uwanja wa Michezo mjini Chato, mkoani Geita, jimbo alilokuwa Mbunge. Pia alitumia fursa hiyo kuwaaga wapiga kura wake.Mkutano huo wa kampeni ulijaza watu kupita kiasi  jambo ambalo wenyeji wa wilaya hiyo pamoja na mgombea amesema haijawahi kutokea.PICHA ZOTE NA RICHARD BMWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Mbuzi huyu aliyechorwa maandishi hayo...

 

9 years ago

Raia Mwema

Ngeleja aota ushindi wa tsunami Sengerema

WAKATI baadhi ya wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza wakiamini kuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo, W

Christopher Gamaina

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli atamba kushinda kwa ‘tsunami’

SIKU moja baada ya matokeo ya utafiti wa taasisi huru ya Twaweza kuonesha kuwa anapaa katika urais, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ametamba kupata ushindi wa ‘tsunami’.

 

9 years ago

StarTV

CHAUMA chaeleza matumaini ya kupata ushindi

 

Zikiwa zimebaki siku 29 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu, Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi cha Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA Hashim Rungwe ametoa tathimini yake juu ya mwenendo wa kampeni pamoja na matumaini yake katika kupata ushindi.

Rugwe amesema ingawa ziko changamoto zinazojitokeza lakini kwa ujumla kampeni zinakwenda vizuri na ana matumaini makubwa ya kuingia Ikulu kutokana na watanzania kuhitaji mabadiliko.

 

Akiwa Singida ambao ni mkoa wa 10 katika mwendelezo wa ziara...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chama cha Nieto kupata ushindi Mexico

Huku kura zikiendelea kuhesabiwa nchini Mexico chama cha mapinduzi cha rais Enrique Pena Nieto, kinaelekea kupata ushindi

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger ataka ushindi mapemaaa

Arsene Wenger ameitaka timu yake kutafuta ushindi wa mapema katika pambano la mwishoni mwa wiki hii Jumamosi dhidi ya Reading.

 

9 years ago

Vijimambo

TSUNAMI YA CCM LEO MKOANI TANGA,WANANCHI WANAIMANI KUBWA NA CCM NA WANAAMINI MAGUFULI NI CHAGUO SAHIHI

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika picha tofauti akizungumza na wananchi wa Tanga Mjini hii leo kwenye Viwanja vya Tangamano wakati wa Mkutano wa kuomba kura za Urais,Ubunge na Udiwani kwaajili ya kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo mapema October 25.2015.Magufuli amewaahidi Wananchi wa Tanga kuwa atarejesha Viwanda na atahakikisha Tanga Unakuwa Mkoa wa Viwanda kama zamani.Mbali zaidi amesema amenuia kuhakikisha Taifa linabadilika kwenye Utendaji wakazi,Utoaji wa...

 

9 years ago

Vijimambo

WAKATI ARUSHA MAGUFULI AKISABABISHA TSUNAMI,MWIGULU NA MAKAMBA WAFANYA KATA KWA KATA HUKO BUMBULI

Mwigulu Nchemba na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Bumbuli Mh.January Makamba wakiwasili Kata ya Usambara kwaajili ya Mkutano wa hadhara wa kampeni mapema hii leo.Wajumbe wa timu ya Kampeni ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi wakiteta Jambo.January Makamba akimsikiliza Mwananchi wake kwa Makini.Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Funta hii leo.Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Tamota wakati wa kuomba kura za Urais,Ubunge na Udiwani kwa Chama cha Mapinduzi hii leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani