Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TSUNAMI YA CCM LEO MKOANI TANGA,WANANCHI WANAIMANI KUBWA NA CCM NA WANAAMINI MAGUFULI NI CHAGUO SAHIHI

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika picha tofauti akizungumza na wananchi wa Tanga Mjini hii leo kwenye Viwanja vya Tangamano wakati wa Mkutano wa kuomba kura za Urais,Ubunge na Udiwani kwaajili ya kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo mapema October 25.2015.Magufuli amewaahidi Wananchi wa Tanga kuwa atarejesha Viwanda na atahakikisha Tanga Unakuwa Mkoa wa Viwanda kama zamani.Mbali zaidi amesema amenuia kuhakikisha Taifa linabadilika kwenye Utendaji wakazi,Utoaji wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WANANCHI MLALO: RASHID SHANGAZI NI CHAGUO SAHIHI KWA MAENDELEO YA KWELI

Rashidi Shangazi akinadiwa kwa wananchi na mgombea urais wa CCM, John Magufuli. Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu akiwa na Rashidi Shangazi.…

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI YASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID EL HAJJ MKOANI GEITA LEO

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania na Mjumbe wa Kamati  Kuu ya CCM,Ndugu Abdallah Bulembo ambaye pia ni Kiongozi wa msafara wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,akiwaongoza baadhi ya viongozi mbalimbali wa chama hicho na wageni waalikwa kutoka Serikali ya Mkoa wa Geita kukata Ndafu  ikiwa ni sehemu ya  kusherehekea sikukuu ya Eid El Hajj kwa pamoja,wakati wa mapumziko ya shughuli za kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA ZIARANI MKOANI TANGA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge.
 Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kufyeka majani kwenye eneo la soko la sabasaba mjini Korogwe.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kujenga zahanati Mahenge kwa Mndolwa.
Mbunge wa Korogwe mjini Bw. Yusuph Nassir akielezea mipango ya maendeleo ya jimbo lake wakati wa ...

 

10 years ago

Michuzi

ALIYEWAHI KUGOMBEA UBUNGE CHADEMA MKOANI TANGA AHAMIA CCM.

Aliyewahi Kugombea Ubunge Tanga Mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA mnamo mwaka 2010,Kassim Omar Mbarak almaarufu Makubel,ametangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,baada ya kuvutiwa na hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipozungumza na wakazi wa Mji wa Tanga katika mkutano wa hadhara kuwashukuru wananchi walioichagua CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 2014 nchi nzima ambapo mkoa wa Tanga umekuwa wa pili kwa kushinda kwa asilimia 97. 

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM, NDUGU KINANA ZIARANI MKOANI TANGA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge.  Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge.…

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA ZIARANI WILAYANI KOROGWE MKOANI TANGA

 Katibu  Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishona nguo kwenye ofisi ya Veronica Simba (kushoto) iliyopo Mombo Sokoni,kulia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini Ndugu Stephen Ngonyani ,Katibu Mkuu alikuwa kwenye ziara ya siku moja katika wilaya ya Korogwe Vijijini ambapo licha ya kukagua miradi mbali mbali ya ujenzi wa maabara na ofisi za CCM alipata nafasi ya kuwahutubia wananchi na kuwasikiliza.  Katibu  Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimuelekeza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM, NDUGU KINANA WILAYA KOROGWE MKOANI TANGA

 Katibu  Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishona nguo kwenye ofisi ya Veronica Simba (kushoto) iliyopo Mombo Sokoni,kulia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini Ndugu Stephen Ngonyani ,Katibu Mkuu alikuwa kwenye ziara ya siku moja katika wilaya ya Korogwe Vijijini ambapo licha ya kukagua miradi mbali mbali ya ujenzi wa maabara na ofisi za CCM alipata nafasi ya kuwahutubia wananchi na kuwasikiliza.   Katibu  Mkuu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAGUO LA CCM - UMOJA NI USHINDI


John Pombe Magufuli ni moja kati ya waliochukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi ya kupitishwa kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu mwezi oktoba kupitia tiketi ya chama hicho.Magufuli ni miongoni mwa waliotajwa tano bora za urais CCMDar es Salaam. Kama alivyowashangaza wengi pale alipojitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais Mei 29 mwaka huu, ndivyo Dk John Magufuli alivyowashangaza tena jana kufikia hatua hii ya tano bora.
Bila makeke, majivuno...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani