MUASISI WA TANU AAGWA MONDULI
Waziri mkuu wa zamani mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na mkewe mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mzee Lazaro ole Ngoilenya Laizer aliyefariki juzi na kuzikwa leo Alhamis kijijini kwake Ngarash Monduli.Mzee Ole Ngoilenya ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 120 alikuwa muasisi na kiongozi wa kwanza wa Chama Cha TAA na baadaye TANU wilayani Monduli wakati huo ikijulikana kama Maasai District.Pia ndiye alikuwa chachu kwa Mh Lowassa na wanasiasa wengine...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-AZ2u2lZpdkE/VMEDtDcaTbI/AAAAAAAG-8k/op3vfmGXPIg/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
Mh. Lowassa aomboleza kifo cha muasisi wa TANU Monduli
![](http://4.bp.blogspot.com/-AZ2u2lZpdkE/VMEDtDcaTbI/AAAAAAAG-8k/op3vfmGXPIg/s1600/unnamed%2B(27).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-meZF6Zbf2l4/VRf9lJzpmLI/AAAAAAADRrI/NoRTgYkCxz4/s72-c/sdgds.jpg)
WANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-meZF6Zbf2l4/VRf9lJzpmLI/AAAAAAADRrI/NoRTgYkCxz4/s1600/sdgds.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-aerxu2mR3I8/VRf9hYkX_yI/AAAAAAADRq4/drpO59LINgM/s1600/gdg.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-7d208KxBnPM/VOMXylpleqI/AAAAAAAHEJE/j1o1gvx-s6g/s72-c/unnamed%2B%286%29.jpg)
WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-7d208KxBnPM/VOMXylpleqI/AAAAAAAHEJE/j1o1gvx-s6g/s1600/unnamed%2B%286%29.jpg)
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.
![](http://3.bp.blogspot.com/-aML6rKdYyVk/VOMXyAIZMII/AAAAAAAHEI8/amgUR-5jNcM/s640/unnamed%2B%285%29.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Tuwaheshimu wanawake wa TANU
YA kale ni dhahabu. Ukiona kinaelea kimeundwa! Usemi huu umekuwa ukitumika katika masuala mbalimbali. Na leo nimependa nianze na maneno haya katika makala yangu. Katika safu yangu hii, nimewahi kuandika...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Wako wapi wanawake shupavu wa TANU?
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Mwapachu arudisha kadi ya CCM, Tanu
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
ALIYEWAHI kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Juma Mwapachu, amerejesha rasmi kadi za Chama cha Tanu na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kadi hizo alizirudisha katika ofisi za chama hicho zilizopo eneo la Mikocheni A jijini Dar es Salaam jana na kuzikabidhi kwa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Kata ya Mikocheni, Sudi Odemba.
Mwapachu ambaye ni kada mkongwe wa chama hicho, alisema kadi ya Tanu yenye namba 819820 aliipata Aprili 6,...
10 years ago
Habarileo07 Apr
Muasisi: Karume hakuwa fisadi
MUASISI wa Mapinduzi ya Zanzibar ambaye ni miongoni mwa wajumbe wa kamati ya watu 14 walioshiriki mapinduzi hayo mwaka 1964, Hamid Ameir (85) ameeleza siri ya mafanikio ya uongozi wa Hayati Abeid Amaan Karume na kushauri viongozi walio madarakani kuiga mfano wake.
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
NAPE: CCM haiwezi poteza historia ya TANU
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa akizungumza kwenye ofisi ya gazeti la Jambo leo ikiwa sehemu ya ziara yake kwenye vyombo vya habari.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye amesema CCM haiwezi na wala haina mpango wa kupoteza historia ya mahali ilipozaliwa TANU.
Ameyasema hayo wakati akizungumza na wahariri wa gazeti la JamboLeo siku ya Ijumaa tarehe 6 februari 2015 alipotembelea ofisini kwao katika ziara ya kutembelea vyombo mbalimbali vya habari nchini.
Alisema...
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Sam Nujoma: Rais aliyeokolewa na wana-TANU