Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kweli mkataa kwao ni mjinga

Vijana wa Carribean waliathirika sana na mabadiliko yaliyokuwa yakitokea katika nchi za Ulaya na Marekani. Wao walikuwa masikini sana ukizingatia nchi zao hazikuwa zao kiasilia. Babu na Bibi zao walitupwa pale kama watumwa huru baada ya kutumika kwa muda mrefu huko Ulaya. Hawakuweza kuweka misingi thabiti ya maendeleo kama ile iliyofanywa Ulaya kwa karne nyingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MDAU WA VIJIMAMBO AKIWA KIJIJI KWAO MKATAA KWAO MTUMWA

 Ustadh Maftah  wa New York akiwa Kilwa aliturushia hii kuonyesha kuwa mkataa kwao ni mtubwa hapa Ustadh Mafutah akiwa na shangazi yake Zureha bint Maftah wakielekea kisiwani kutoka Kilwa masoko Lindi.
 Hii ni ramani ya kisiwani, kisiwa hiki ni maarufu sana katika karne ya 9 kilikuwa kina milikiwa na sultan Ali bin Al-Hasan hapa ndipo palikuwa makazi yake katika karne hiyo ya 9 hadi karne ya 15.  Alijenga Msikiti mkubwa sana na alifanya kituo kikubwa cha kubairishia watumwa na kuwasafirisha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho:Daktari'mjinga' hatakuwepo uwanjani

Meneja wa Chelsea manager Jose Mourinho amekariri msimamo wake dhidi ya kitengo cha utabibu cha timu yake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nilikuwa mjinga aliyepanda mzoga wa nyangumi

Mwanaume aliyepigwa picha akiwa amepanda mzoga wa nyangumi amesema kuwa ilikuwa ni ujinga uliompelekea kuhatarisha maisha yake .

 

10 years ago

Vijimambo

Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna...

 

10 years ago

Mwananchi

Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?

Katika makala yangu yaliyochapishwa gazetini tarehe Julai 6, iliyokuwa na kichwa : “Fahamu namna ya kuboresha uwezo wako wa kusoma,” nilieleza kuwa sharti moja la kusoma vizuri ni kuwa na uwezo wa kusoma huku ukitathmini ukweli wa habari unayosoma. Kuna wasomaji kadhaa wameniomba nieleze jinsi mtu anavyoweza kutathmini anachokisoma.

 

10 years ago

Michuzi

FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI

Kitambi  ni  ile  hali  ya  tumbo  kuwa kubwa  na  kuchomoza  kwa  mbele  na  wakati mwingine  kufikia  hatua  ya  kunin’ginia. JINSI  KITAMBI  KINAVYO  PATIKANAKwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati  ya bilioni 50  hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika  sehemu  mbalimbali  za  mwili wa binadamu. Kwa wanawake  seli hizo  zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye  nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande  wa  wanaume seli  hizo...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndanda FC yarudi kwao

Ndanda iliyopanda daraja msimu huu inarejea kwa mara ya kwanza kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona kuikabili Ruvu Shooting, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Dennis Kitambi akiwataka mashabiki kuujaza uwanja ili wapate ushindi wa kishindo.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli aagwa kwao

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amewaaga rasmi wananchi jimboni kwake Chato, mkoani Geita kwa kuwashukuru na kueleza namna alivyofikia uamuzi wa kugombea nafasi hiyo ya juu, huku akisema hata akiwa Rais wa Tanzania, kamwe hatabadilika.

 

9 years ago

GPL

ZARI AITWA KWAO

mwandishi wetu KIMENUKA! Baada ya madai kwamba mtoto Latifah ‘Tiffah’ si damu ya Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku shemeji wa zamani wa Zarinah Hassan ‘Zari’ (mama Tiffah), King Lawrence naye kusema mtoto huyo ni wake, kuna taarifa mpya zinazodai kuwa, Zari ameitwa kwao, Uganda ili akamalize ubishi juu ya suala hilo, Risasi Jumamosi limenasa mchapo kamili.....Soma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani