Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?

Katika makala yangu yaliyochapishwa gazetini tarehe Julai 6, iliyokuwa na kichwa : “Fahamu namna ya kuboresha uwezo wako wa kusoma,” nilieleza kuwa sharti moja la kusoma vizuri ni kuwa na uwezo wa kusoma huku ukitathmini ukweli wa habari unayosoma. Kuna wasomaji kadhaa wameniomba nieleze jinsi mtu anavyoweza kutathmini anachokisoma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: UFAFANUZI WA TAARIFA ZISIZO ZA KWELI KUHUSU UTEUZI WA KONSELI WA HESHIMA JIMBO LA GUANDONG, CHINA


Hivi karibuni kumezuka taarifa za upotoshwaji zilizotolewa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Serikali ya Tanzania imemteua Bw. Salaah, Mkurugenzi wa Home Shopping Centre, (pichani ) kuwa Konseli wa Heshima (Honorary Consul) kwenye mji wa Guangzhou kwenye Jimbo la Guandong. 

Watoa taarifa hizo, hawakutoa ushahidi wowote kuthibitisha madai yao zaidi ya kutoa picha mbalimbali za Bw.Salaah kutoka kwenye mitandao mingine ya kijamii.
Taarifa hizo sio za kweli. Kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za...

 

10 years ago

Vijimambo

Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Taarifa ya mgahawa sio kweli !

Idhaa ya kiswahili ya BBC imethibitisha kuwa taarifa tuliyochapisha kwamba kuna mgahawa mmoja nchini Nigeria unaouza nyama ya binadamu sio za kweli.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Taarifa ya mgahawa sio za kweli !

Idhaa ya Kiswahili ya BBC imethibitisha kuwa taarifa tuliyochapisha kuhusu mgahawa unaouza nyama ya binadamu Nigeria sio za kweli.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI DHIDI YA WASHIRIKI WA TMT 2015

Picha ya Post iliyopostiwa na Kijana ajulikanae kama Raffayel Mombury.Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waandaaji na waendeshaji wa shindano la Kusaka vipaji vya Kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo linaendelea kufanyika huku washiriki watano Wakiwa washaenguliwa katika shindano hilo Kutokana na Kutokupata kura za kutosha kutoka kwa watazamaji wa Kipindi hiko mahiri kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV siku ya jumapili saa tatu na nusu usiku.Proin...

 

11 years ago

Michuzi

URAFIKI WA KWELI

 Kuku na vifaranga vyake wakisaidiana kufanya kazi ya kula wadudu waliokuwepo kwa Mbwa huyu kama kamera yetu ilivyofanikiwa kuinasa taswira hii.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema :Kweli Nimeolewa

Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amemaliza  utaa wa picha zake zilizozagaa mtandaoni  akiwa amavalia shera kwa kuweka wazi kuwa  ni kweli ameolewa.

Leo akiongea  na Soudy Brown kwenye U Heard  ya XXL Clouds FM, Wema ameeleza kuwa Katika kipindi cha xxl cha yeye tayari ni mke wa mtu, na kwamba yeye na mwenza wake huyo  wameshafunga ndoa ya kikistso na  mme wake huyo amekubaliana na hali yake ya kutoweza kupata na mtoto.  Wema aliongeza kua mwisho wa mwezi wa tano watafanya party...

 

10 years ago

GPL

KWELI MUNGU MKUBWA!

Na Waandishi Wetu, MWANZA HAKUNA neno jingine la kutumia zaidi ya kusema; KWELI MUNGU MKUBWA! Ni miezi mitano sasa imekatika tangu kusambaa kwa picha mitandaoni zilizomwonesha mwanaume mmoja akiwa ameshindiliwa sululu kichwani huku kisa kikiwa hakijulikani. Bw. Oka Kaombe akisimulia mkasa uliomkuta bara baada ya kupona majeraha ya sululu iliyozamishwa kichwani mwake.
Mbali na mitandao ya… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Juve, Milan zafanya kweli

Bao la Carloz Tevez lilitosha kuipa Juventus ushindi wa 1-0 dhidi ya Torino katika mchezo wa ‘Turin derby’ Jumapili na vijana wa Antonio Conte wakiendelea vizuri katika kusaka taji la tatu la Serie A.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani