URAFIKI WA KWELI
![](http://2.bp.blogspot.com/-3vun6xNQZq0/UzsTardhAtI/AAAAAAAFXvY/zKJLljtWKOs/s72-c/MMG20048.jpg)
Kuku na vifaranga vyake wakisaidiana kufanya kazi ya kula wadudu waliokuwepo kwa Mbwa huyu kama kamera yetu ilivyofanikiwa kuinasa taswira hii.
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili25 Feb
Huu ndio urafiki wa kweli kati ya mbwa na mwanadamu?
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-akUSMuMoELE/VLYtEZkZc2I/AAAAAAAAmcQ/AHNbTksNfQc/s72-c/LEMUTUZII899.jpg)
Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli
![](http://2.bp.blogspot.com/-akUSMuMoELE/VLYtEZkZc2I/AAAAAAAAmcQ/AHNbTksNfQc/s640/LEMUTUZII899.jpg)
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4gcwgfKZqBINxtBmFDY*nHTvTKcrwKLkD-0bkQWmIdwtl5GEobGdlXvI1iyFt-KAwuQRUVNv1fYBwfxCojhNw6-/spl1038953_0041432922094.jpg?width=650)
URAFIKI WA NORTH, PENELOPE NI GUMZO
10 years ago
Habarileo10 Jun
Urafiki wa Unguja na Ujerumani wasifiwa
USHIRIKIANO kati ya shule ya Mwanakwerekwe ya mjini Unguja na shule ya Bruno-H-Burgel ya mjini Postdam Ujerumani sio tu ni kielelezo cha urafiki na ukaribu wa wananchi wa Zanzibar na Ujerumani, bali pia unadhihirisha dhamira ya kweli waliyonayo wananchi wa nchi hizo ya kuimarisha ushirikiano wao kihistoria.
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Urafiki wa China tuuangalie vema
KATIKA siku za karibuni nimekuwa ninapata wasi wasi ninaposikia au kuona nchi yetu inawafungulia milango Wachina kama ndugu na marafiki tunaotarajia kuchangia maendeleo ya nchi yetu. Hali hii haitokani na labda...
9 years ago
TheCitizen12 Nov
Urafiki textile mills workers go on strike
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Serikali yafunga Kiwanda cha Urafiki
MAULI MUYENJWA NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
SERIKALI imekifunga Kiwanda cha Nguo cha Urafiki kutokana na mgomo wa wafanyakazi uliotokea jana wakiutaka uongozi kuwalipa malimbikizo ya madai yao ikiwamo mishahara.
Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni, Paul Makonda, alitangaza kukifunga kiwanda hicho hadi Desemba 7 mwaka huu yatakapotolewa majibu ya kuridhisha kuhusu changamoto zilizosababisha mgomo huo.
Mgomo katika kiwanda hicho ulianza wiki kadhaa zilizopita ambako mkuu huyo wa wilaya aliuagiza...
9 years ago
Mwananchi14 Nov
Tuico yaingilia kati mgomo wa Urafiki