Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli
![](http://2.bp.blogspot.com/-akUSMuMoELE/VLYtEZkZc2I/AAAAAAAAmcQ/AHNbTksNfQc/s72-c/LEMUTUZII899.jpg)
The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Mar
Wolper: Mama Ndio Rafiki wa Kweli!
Mrembo na Staa wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper amebandika andiko hili kwenye ukurasa wake wa mtandaoni.
“Mama rafiki wakweli, ukitendwa na mwanaume/mwanamke kimbilio kwa mama tuwapende nakuwalinda napia kwa wenzetu ambao mama zao wameshatangulia mbele za haki tuwaombee, mama yoyote ni mama tuwapende”.
Ujumbe mzuri sana huu,tuwapende wakinamama wote.
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Le Mutuz: Asante Lulu,Wewe Ndie Rafiki wa Kweli!
The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka
“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz mazafantazzzz.....nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama...
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Wanafunzi UDSM walivyotafsiri simulizi ya rafiki wa kweli vitendo
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-xIOMQ6s-cJc/VJkvPxnRYMI/AAAAAAAA0Eg/Y8OrBKdJVHo/s72-c/MKASIIIR.jpg)
KISA NI KOFIA KWELI AU ALIKUWA NA LINGINE RAFIKI HUYU
![](http://1.bp.blogspot.com/-xIOMQ6s-cJc/VJkvPxnRYMI/AAAAAAAA0Eg/Y8OrBKdJVHo/s640/MKASIIIR.jpg)
Okpara...
11 years ago
Bongo Movies13 Jul
Kajala afunguka kuwa wema sepetu ni mnafiki na si rafiki wa kweli.
STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu, uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku akidai Wema ni kigeugeu.
Akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wa GPL, juzi Jumatano pande wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, Kajala alisema: “Wema ni mnafiki kabisa. Upatanisho wetu ni wa uongo. Mimi moyoni nimeondoa kinyongo lakini mwenzangu naona kama bado ana donge moyoni.”
Kajala alisema...
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?
10 years ago
Bongo Movies18 Mar
Ni Kweli Lulu, Ulichokisema Nifundisho Tosha
Mrembo na staa wa Bongo Movie, Elizabeth Michael “Lulu” ameandika maneno haya ambayo ni somo na fundisho kwetu sote.
“Kuna wakati kwenye maisha unaweza kukufuru Mungu kwa kuona huwezi kuishi bila kitu/mtu/watu flani, bila kujua kwa kufanya hivyo ni kama kukiabudu hicho kitu/mtu/watu(kuabudu ni kukifanya kitu kuwa muhimu na cha kwanza kuliko chochote kwenye maisha yako)....
Kama binadamu nimeshawahi kupita katika wakati kama huo kwa kujua/kutokujua, Maneno ya Kusema siwezi kuishi bila mtu...
10 years ago
Bongo Movies01 Apr
Lulu Awaacha Watu Njia Panda…..Je ni Kweli Mjamzito?
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacha njia panda mashabiki na wafuasi wake kwenye mtandao wa INSTAGARM baada ya hapo jana usiku kubadika picha ya mwanamke mwenye ujauto na kuandika maneno ambayo hayaelezi wazi kuwa ni yeye.
“Happy New Month Lovies….Si ruksa kuitana wala ku munch”-Lulu aliandika.
Kitendo cha Lulu kuchimba mkwala akiwata watu wasiitane kuja kuona wala kufanya kijiwe cha kujadiliana juu ya picha hiyo (Kama inavyoonekana hapo juu) ndio kuliamsha...
5 years ago
BBCSwahili25 Feb
Huu ndio urafiki wa kweli kati ya mbwa na mwanadamu?