Ni Kweli Lulu, Ulichokisema Nifundisho Tosha
Mrembo na staa wa Bongo Movie, Elizabeth Michael “Lulu” ameandika maneno haya ambayo ni somo na fundisho kwetu sote.
“Kuna wakati kwenye maisha unaweza kukufuru Mungu kwa kuona huwezi kuishi bila kitu/mtu/watu flani, bila kujua kwa kufanya hivyo ni kama kukiabudu hicho kitu/mtu/watu(kuabudu ni kukifanya kitu kuwa muhimu na cha kwanza kuliko chochote kwenye maisha yako)....
Kama binadamu nimeshawahi kupita katika wakati kama huo kwa kujua/kutokujua, Maneno ya Kusema siwezi kuishi bila mtu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-akUSMuMoELE/VLYtEZkZc2I/AAAAAAAAmcQ/AHNbTksNfQc/s72-c/LEMUTUZII899.jpg)
Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli
![](http://2.bp.blogspot.com/-akUSMuMoELE/VLYtEZkZc2I/AAAAAAAAmcQ/AHNbTksNfQc/s640/LEMUTUZII899.jpg)
9 years ago
Bongo Movies02 Jan
Maneno ya Lulu kwa Mama Yake ni Fundisho Tosha
Mwigizaji Lulu ameandika haya jana kwenye ukurasa wake mtandaoni, ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya mama yake mzazi.
The pic Says all…!
Umenifundisha kujua thamani ya Mama Duniani,Umenifundisha urafiki wa kweli uko vipi,undugu WA kweli uko vipi.
Pale ambapo wote walikimbia,walikuwa kinyume Na Mimi Wewe Ndo ulisimama .
Naweza kuandika maneno Milioni lkn kiukweli hakuna namna ninayoweza kukuelezea na watu wakapata picha halisi ya ulivyo
Una mapungufu yako..Ndio sikatai .
Una mabaya yako…Ndio maana...
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Le Mutuz: Asante Lulu,Wewe Ndie Rafiki wa Kweli!
The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka
“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz mazafantazzzz.....nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama...
10 years ago
Bongo Movies01 Apr
Lulu Awaacha Watu Njia Panda…..Je ni Kweli Mjamzito?
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacha njia panda mashabiki na wafuasi wake kwenye mtandao wa INSTAGARM baada ya hapo jana usiku kubadika picha ya mwanamke mwenye ujauto na kuandika maneno ambayo hayaelezi wazi kuwa ni yeye.
“Happy New Month Lovies….Si ruksa kuitana wala ku munch”-Lulu aliandika.
Kitendo cha Lulu kuchimba mkwala akiwata watu wasiitane kuja kuona wala kufanya kijiwe cha kujadiliana juu ya picha hiyo (Kama inavyoonekana hapo juu) ndio kuliamsha...
10 years ago
Bongo Movies03 Apr
Picha: Ni Kweli Lulu Ana Mimba?! Jionee Mwenywe Hapa
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameweka tena picha yake mtandaoni (hiyo hapo juu)akionekana mjamzito, hii ni mara ya pili baada ya hivi juzi kati kuweka picha ya mwanamke mjamzito bila kuonyesha sura yake, kitendo ambacho kilionekana kuwa sio yeye na niuongo kwani siku hiyo ilikuwa ni siki ya wajinga dunia.
Hata hivyo bado watu wengi hawajaamini kuwa mrembo huyo kwasasa ni mjamzito na hata lulu mwenyewe hajaweka wazi kuwa kwasasa ni mama kijacho japo wanasema...
10 years ago
Bongo Movies15 Feb
PICHA: Je ni Kweli Lulu Anamaanisha Hiki Kilichoandikwa Kwenye T-shirt Yake?
Mara kadhaa tumewaona baadhi ya ndungu zetu amabo Lugha ya malkia inawapiga chenga wamekuwa wakivaa ngue zenye maandisha ambayo mara nyingi huwa hawajui maana ya kile ambacho kimeandikwa.
Sote tunatambua kuwa watu wenye uelewa kama wa mrembo huyu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ hawezi kuvaa ngue yenye maandishi akiwa ajui maana yake au hakubaliani na kile kilichoandikwa. Sasa je mtoto lulu ni kweli anamaanisha hiki kilichoandikwa hadi kupiga nacho picha na kutupia mtandaoni. Au labda ni dili...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-g6wmqPtZDsw/VVR5UEAGppI/AAAAAAABOaQ/sXIxvK8iVzY/s72-c/Elizabeth-Michael-lulu1.jpg)
"LULU: NI KWELI NAPENDA KUTEMBEA NA WANAUME WALIONIZIDI UMRI SABABU HAWANA MAMBO YA KITOTO"
![](http://4.bp.blogspot.com/-g6wmqPtZDsw/VVR5UEAGppI/AAAAAAABOaQ/sXIxvK8iVzY/s640/Elizabeth-Michael-lulu1.jpg)
Akizungumza kwenye The Sporah Show, Lulu amezitaja sababu za kupendelea kutoka na wanaume waliomzidi umri.
SPORAH: Watu wanahisi kwamba Lulu anapenda sana kutembea na watu waliomzidi umri sana,
LULU: That’s true, sio uongo, sio sana, Napenda kudate mtu ambaye anayeweza kusimama kama mpenzi, kama kaka, kama baba, kama kiongozi. Sitakuwa tayari kuwa na ile...
10 years ago
Bongo Movies23 May
Lulu: Wanaonipenda Kweli, Wanafiki na Wale Baby Baby NAWAJUA
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni, bila shaka na wewe ANAKUJUA.
Mnaonipa Moyo na Kunipenda kiukweli....NAWAJUA
Wakuongea Nao Ya Moyoni....NAWAJUA
Wale wa kuni baby baby on IG kumbe Hakuna lolote....NAWAJUA
Wale mnajifanya shoulders to cry on ili mpate kunijua kirahisi...NAWAJUA ila SIWEZI KUWAPA HIYO CHANCE AISEEE...I'm Soleeeeee
Wale tunaochekeana kinafki...NAWAJUA I hope MNANIJUA PIA yani TUNAJUANA
Wale Waukweli kbsa ....NAWAJUA
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?